Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Huyu Refa hataki mazoea hata kidogo ukizengua kidgo tuu anakupa umeme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah kama kwenye PESIla hii TBC jamani wachezaji wanayumba yumba picha kama zinakimbia
Acha tuuHahahah kama kwenye PES
Ngumu kukosa upandeeAchana na uzalendo anagalia tu ukiwa neutral
Huku TBC haioneshwiGame nzuri kutazama ni serbia na Swiz bonge moja la game🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Atakuwa anaangalia kwa DstvTv yako tu
Ipo DStv duh kali kinomaHuku TBC haioneshwi
Miili mikubwa, ubongo nuktawachezaji wa Cameroon na kocha wao wana miili mikubwa ukiwaona utasema wapo serious kumbe vichwani wana minyoo