Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hii Freekick ya Brazil angepiga yule jamaa wa Mexico ingekuwa hatari
 
Mtangazaji: je umeshawahi kufikiria kuwaomba msamaha Ghana?

Suarez: hapana hapana hapana sijawahi kufikiria, kwasababu nilipata kadi nyekundu na Ghana walipata Penalt

Ningeweza kuomba msamaha kama ningemchezea vibaya na kumuumiza mchezaji
 
Back
Top Bottom