Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
🤣🤣🤣🤣🤣!Acha dharau ww kwahyo wanaocheza mule ni wanawake
Tutawafundisha adabu nyie Argentina na huyo kirikuu mapunye wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣!Acha dharau ww kwahyo wanaocheza mule ni wanawake
Tutawafundisha adabu nyie Argentina na huyo kirikuu mapunye wenu
Au kama anatumia king'amuzi cha DSTV Adownload DSTV APP ila data zinaenda si mchezo!!Nenda Tbc online wazee wa mbungi mtonyo
TBC1 iko njemaAu kama anatumia king'amuzi cha DSTV Adownload DSTV APP ila data zinaenda si mchezo!!
Ambiele Kiviele
TBC quality yake ya kiwaki sana!
mwache atajionea mwenyewe
Argentina akipita wanatolewa hao waholanzi.USA wanacheza mpira vizuri sema hawako organized kwenye defence na sio aggresive kutafuta goli.Kwa team iliyokamilika kam Argentina sioni hao wadachi wakitoboa quater finals.Uholanzi ya Van Gaal tunaibeza lakini inakimbiza mwizi kimya kimya
Apigwe tuuAsante uholanzi nataka unipigie Argentina sasa mpka kirikuu astaafu mpira [emoji23][emoji23][emoji23]
Awapi Ni ilimradi tu!TBC1 iko njema
Imekuwaje mkuuHaiwezekani Netherland akamfunga USA
England hawaucheza kawaida walizidiwa
Utaona kesho hao Netherland kama watakuwa na mikazo ya kwenda second half bila kuongozwa
Punguza mahabaArgentina akipita wanatolewa hao waholanzi.USA wanacheza mpira vizuri sema hawako organized kwenye defence na sio aggresive kutafuta goli.Kwa team iliyokamilika kam Argentina sioni hao wadachi wakitoboa quater finals.
Nilimwambia Mimi kuwa mapema sana Netherland wanaibuka kidedeaImekuwaje mkuu
Mmebahatishs tu
Tumeng'atwa na samaki wa kuchemshwaImekuwaje mkuu
Wc hii haitabiriki mkuuMmebahatishs tu
Kuna uwezekano likachukuliwa na asiyetegemeaWc hii haitabiriki mkuu