Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #15,581
Haya nasubiria kusikia "Pamoja Argentina kashinda lakini hawatafika mbali"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatakiwa ulitie akilini hilo, yaani higuain amestaafu lakini bado katuachia mzimu wake kwenye timu yetu pendwaNilikuwa nashangaa kwanini Lautaro Martinez anaanzia benchi? Sasa nimepata majibu.
...😂😂...Safi sana, tuwasubiri kule robo fainali tuendeleze spana...😂😂😂Kuna watu wanapita Chocho halafu Cha ajabu wanatamba ni mafundi!
Come on Netherland 🔥🔥🔥
Walete waleteee hawa wapita chocho
Yani jamaa anampenda Messi from within.Sijawai ona mchezaji anamuhusudu mchezaji mwenzake vibaya kama Rodrigo de paul kwa Messi yaani jamaa anazidi anamkombatia kirikuu mpaka anataka kulia daah
Wakipita mechi ijayo basi niiteni kaka Nyonyoma 😃...😂😂...Safi sana, tuwasubiri kule robo fainali tuendeleze spana...😂😂😂
Kabisa man na hizi ndio match za Messi hiziTimu gani mzee kama Australia ni under dog apo, kufika hatua hii kwake ni bonus kubwa sana
Maoni yangu Argentina atakuja kupigwa juu ya goli 4 huko mbele. mabeki wengi wafupi wanapata tabu mipira ya juu winga ukiachana na Messi hawako poa hata control ni mtihani kabisa.
KipajiIla messi ni mchezaji wa dunia wa muda wote duh🔥🔥🔥
Haya Rais wa Fifa, Infantino.Ikipita niite shoga
Yani jamaa anampenda Messi from within.
Wataongea kila neno mkuu.. We waache watakua wanaona tu game zimeisha tumepita basi[emoji23].. Ukitk kubeba kombe lzm ukutane na kila upinzan asa kwny hatua izi za mtoano waliofika hapa wamestaili so ni mapambano na sisi tuko tyr kupambana kila game.Haya nasubiria kusikia "Pamoja Argentina kashinda lakini hawatafika mbali"
Kama Ronaldo anavyohangaika au sio?Sometimes naonaga Messi haangaiki uwanjani yaani anatembea anajua punda ziko zinafanya kazi kwaajiri yake zinamsogezea ye anapasia nyavu,, Nothing special at all