Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuna watu wanapita Chocho halafu Cha ajabu wanatamba ni mafundi!


Come on Netherland 🔥🔥🔥
Walete waleteee hawa wapita chocho
...😂😂...Safi sana, tuwasubiri kule robo fainali tuendeleze spana...😂😂😂
 
Maoni yangu Argentina atakuja kupigwa juu ya goli 4 huko mbele. mabeki wengi wafupi wanapata tabu mipira ya juu winga ukiachana na Messi hawako poa hata control ni mtihani kabisa.
 
Ushindi mzr sana wa mapambano had mwsh.

Sasa tunajiandaa na [emoji1179] tutapambana vita kila dkk 90.

Vamonosssssssss LA Albiceleste [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033].
 
Yanashangilia kupita vichochoroni.
Ndio janjanjanja zimeishia hapo,rukeni ka mwisho.

Wakipita tena naanza kunywa bia .
 

Attachments

  • IMG_20221204_000221_342.jpg
    IMG_20221204_000221_342.jpg
    1.5 MB · Views: 4
Haya nasubiria kusikia "Pamoja Argentina kashinda lakini hawatafika mbali"
Wataongea kila neno mkuu.. We waache watakua wanaona tu game zimeisha tumepita basi[emoji23].. Ukitk kubeba kombe lzm ukutane na kila upinzan asa kwny hatua izi za mtoano waliofika hapa wamestaili so ni mapambano na sisi tuko tyr kupambana kila game.

Vamoooosssssssss [emoji1033]
 
Back
Top Bottom