Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nipo na senegal hadi mwisho ila fainali naitamani France na Brazil
La Pulga, Little Flea, Kiroboto unamsahau sana mkuu

images (95).jpeg
 
Humu jukwaani watu wana sonona sana, yaani unakuta mtu anataka kuanzisha vurugu kwa kitu ambacho hakimuhusu...duuh
 
Michael owen anaiongelea mechi kwa kuogopa sana

Anajua mkoloni ana kibarua kizito
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom