Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Timu Gani?Yaani hawa leo tunao.
Natoa nafasi, wa kuhamia hamieni Ukolonini. Njooni muwe manamba.
Dirisha likifungwa hatutaki wahamiaji tena.
Yaani unapata pressure. Unapasuka ubongo bure.Kama kuna aliyebeti akampa Senegal namshauri alale asijionee huu ukatiri
🤣🤣🤣🤣🤣 mpira unaweza kukushangazaKama kuna aliyebeti akampa Senegal namshauri alale asijionee huu ukatiri
Huwa inatokea mara moja moja.🤣🤣🤣🤣🤣 mpira unaweza kukushangaza
[emoji1787] Kushambulia Mnashambulia, Kamati ya Roho Mbaya hatutaki KuonaWewe unaangalia mpira kweli? Huoni mashambulizi?
Aisee!.
Mi ndo maana huwa namuheshimu sana aliyebeti na mkeka ukatikiYaani unapata pressure. Unapasuka ubongo bure.
Sema hawa viumbe siwaamini ata kidogo...Mendy maamuzi yake changamotoHuwa inatokea mara moja moja.
Lakini si kwa aina ya Koudibaly na Mendy.
Header....imepaaa20'
Senegal bado wamebana ila wametepeta. Wamezidiwa. Mpira kuingia golini tu ndiyo kinachosubiriwa.
Stones angetulia kidogo tu. Ingekuwemo.Header....imepaaa
🤣🤣🤣🤣Basi nipe kazi ya kukufanyia vurugu usiwe unalala lala
Kama kuna aliyebeti akampa Senegal namshauri alale asijionee huu ukatiri