Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
England hawezi kukutana na France bali France atakutana na Senegal na kupigwa out!England team hakuna hapa Ufaransa itawagonga nyingi wakipita
Senegal wanacheza leo. Wanaweza kurudisha lknAfu cha kimasihara kweli
Nimeshtuka hadi usingizi umekataHapa kuangalia kipindi cha kwanza na kulala
🤣🤣🤣🤣🤣Na bado.
NyoSikutegemea Handerson wetu atafunga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dunia Ina makuu
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hata SPAINNarudia tena kusema
Hakuna team ambayo ni msindi wa pili kwenye group itapita kwenda Robo fainali
Tupo hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Golie nae anazinguasema kipa wa Senegal anavojiposition
Wazungu wanajua kutumia nfs, senegal amecheza sn sn lkn hawakua na utulivuNdio tofauti hiyo.. mnashambulia weeeeeee finally mnapigwa.
Nimeshtuka hadi usingizi umekata