Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Waingereza huwatania wafaransa watu washamba

Ni km sisi wakenya wanavyotuita uncivilized
 
Magwaya hana mwili wa kiuchezaji mpira kabisa kola akishika wakati mwingine nikimuona na mpira kicheko kinakuja ghafla
Waandishi warimpromoti sana c unajua uingereza na vyao,,,, even kisoka ni kawaida sana
 
Back
Top Bottom