Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu, sikuhizi kuna var , japo siiangalii hiyo game lakini najua sio penati.Ila ile ni penalty
Sasa Bibi kama uangalii umasema sio penaltyBabu, sikuhizi kuna var , japo siiangalii hiyo game lakini najua sio penati.
Hakuna cha France wala England wote hao ni vibonde kwa Morocco.Yap itokee miujiza ila france akipita morroco naona ndio itakuwa mwisho wao
Mungu asaidie France ashinde.
Waingereza wana kiherehere na majivuno sana. Wapigwe tu, hamna namna.Mungu asaidie France ashinde.
Agh, siangalii hiyo game, me nimeshaangalia Morocco inatosha, hao wengine nikisema nikaangalie naweza kuchezea kichapo na sungusungu bure.Unamuona malkia anavyotaabika lakin