Huo uchafu unquantifiable sana uarabuni kuliko sehemu yoyote dunianiWazungu hawa hawa wanao kesha kutetea ushoga?
Acha kujizima data weweee!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uchafu unquantifiable sana uarabuni kuliko sehemu yoyote dunianiWazungu hawa hawa wanao kesha kutetea ushoga?
Acha kujizima data weweee!!!
Acha ujinga.Huo uchafu unquantifiable sana uarabuni kuliko sehemu yoyote duniani
Sema linajua balaaChezaji la kiarabu sisi bado tumeshikilia. Ile ile kauli ya kwanza
Tutabaki kuwa upande wa franceView attachment 2443111
Acha ujinga.
Nitajie inchi moja ya kiarabu inayo ruhusu ndoa ya jinsia moja?
Ukishindwa niambie mimi nikutajie nchi tano za kizungu ambazo zinakesha kutetea ndoa za jinsia moja (Ushoga & Usagaji)tofauti ya
Utofauti wa mzungu na mwarabu ni kwamba mzungu ni mtu wa freedom (democracy) kama kitu a anapinga au ana ruhusu huweka wazi tofauti na waarabu ambao huficha makucha yao ili waonekane wema na wa maana (wana inferiority complex) huo ufirauni umeenea sana uarabuni kuliko sehemu yoyote ile ,jiulize kwanini maeneo yote yaliyo tawaliwa na waarabu yana uchafu huo mombasa ,zanzibar,tanga na kwinginekoAcha ujinga.
Nitajie inchi moja ya kiarabu inayo ruhusu ndoa ya jinsia moja?
Ukishindwa niambie mimi nikutajie nchi tano za kizungu ambazo zinakesha kutetea ndoa za jinsia moja (Ushoga & Usagaji)
Hao wanamchukia Messi ndio maana wanaruka na kila timu wanayohisi itamfunga Argentina.
Sawa na brazil walivyo shinda dhidi ya korea wakaanza kujichezesha uwanjani
Manjesta ni maji maji ya Songea sio?Kwahiyo ni bora tushakie mabeberu, sio?
Mkuu, wenda umesoma lakini elimu yako haikusaidii kitu.
Wazungu wamekua wawazi kwavile hawana unafki, ila hao waarab wanafanya sana ayo mambo ila hayaendi kwenye public ndio pona yaoAcha ujinga.
Nitajie inchi moja ya kiarabu inayo ruhusu ndoa ya jinsia moja?
Ukishindwa niambie mimi nikutajie nchi tano za kizungu ambazo zinakesha kutetea ndoa za jinsia moja (Ushoga & Usagaji)
Hata kama.Mbona kina walker walimbeza Mbappe, Wa England waliwabeza sana Ufaransa. Ila mwisho wa mechi still France waliwarespect wa English.Uholanzi ndo walianza ukorofi,esp manager wao. Ndo mana messi pia alimjibu kwa hasira after match alivomfata
Just kunyoosha mambo,Croatia alimfunga Argentina 3 bila 2018.Walikuwa kundi moja.Wanafikiri Croatia atamfunga Argentina kisa wamemtoa Brazil[emoji23][emoji23]
Bifu lao limeanza way back na huyo manager tangu wakiwa barca,huyo manager ni bully na alikua unfair. Ndo mana messi akareact vile.Hata kama.Mbona kina walker walimbeza Mbappe, Wa England waliwabeza sana Ufaransa. Ila mwisho wa mechi still France waliwarespect wa English.
Ni kweli Croatia ameshinda goal tatu kwa hakuna dhidi ya Argentina 2018 WC group stage ila hii WC 2022 nimeziangalia zile timu zote vizuri Croatia Na Argentina Mimi nampaa karata ArgentinaJust kunyoosha mambo,Croatia alimfunga Argentina 3 bila 2018.Walikuwa kundi moja.
Muda si mrefu naye Messi ataungana na mwenzieView attachment 2443058
Hii picha ya Ronaldo ki ubinadamu inaniumiza sana...I feel his sadness
Sisi mashabiki hatujui wanavyojisikia pale wanaposhindwa kufikia malengo yao... poleni sana.. hata Messi nae akitolewa atalia na nitajisikia vibaya pia kama ilivyokua pia kwa Neymar Jr...
Mbeleko fc...!! Pale ilikuwa ni red kad kabisa bila ubish...!!!Ni kweli Croatia ameshinda goal tatu kwa hakuna dhidi ya Argentina 2018 WC group stage ila hii WC 2022 nimeziangalia zile timu zote vizuri Croatia Na Argentina Mimi nampaa karata Argentina
Mbona ata mchexaji mpinzani alitakiwa red card na alianza kabisa kulia lakini mwamuzi alimuachaMbeleko fc...!! Pale ilikuwa ni red kad kabisa bila ubish...!!!
Just kunyoosha mambo,Croatia alimfunga Argentina 3 bila 2018.Walikuwa kundi moja.
Muda si mrefu naye Messi ataungana na mwenzie
Sema ye atabahatika kucheza playoff