Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Huo uchafu unquantifiable sana uarabuni kuliko sehemu yoyote duniani
Acha ujinga.
Nitajie inchi moja ya kiarabu inayo ruhusu ndoa ya jinsia moja?
Ukishindwa niambie mimi nikutajie nchi tano za kizungu ambazo zinakesha kutetea ndoa za jinsia moja (Ushoga & Usagaji)
 
Acha ujinga.
Nitajie inchi moja ya kiarabu inayo ruhusu ndoa ya jinsia moja?
Ukishindwa niambie mimi nikutajie nchi tano za kizungu ambazo zinakesha kutetea ndoa za jinsia moja (Ushoga & Usagaji)tofauti ya

Acha ujinga.
Nitajie inchi moja ya kiarabu inayo ruhusu ndoa ya jinsia moja?
Ukishindwa niambie mimi nikutajie nchi tano za kizungu ambazo zinakesha kutetea ndoa za jinsia moja (Ushoga & Usagaji)
Utofauti wa mzungu na mwarabu ni kwamba mzungu ni mtu wa freedom (democracy) kama kitu a anapinga au ana ruhusu huweka wazi tofauti na waarabu ambao huficha makucha yao ili waonekane wema na wa maana (wana inferiority complex) huo ufirauni umeenea sana uarabuni kuliko sehemu yoyote ile ,jiulize kwanini maeneo yote yaliyo tawaliwa na waarabu yana uchafu huo mombasa ,zanzibar,tanga na kwingineko
 
Acha ujinga.
Nitajie inchi moja ya kiarabu inayo ruhusu ndoa ya jinsia moja?
Ukishindwa niambie mimi nikutajie nchi tano za kizungu ambazo zinakesha kutetea ndoa za jinsia moja (Ushoga & Usagaji)
Wazungu wamekua wawazi kwavile hawana unafki, ila hao waarab wanafanya sana ayo mambo ila hayaendi kwenye public ndio pona yao
 
Just kunyoosha mambo,Croatia alimfunga Argentina 3 bila 2018.Walikuwa kundi moja.
Ni kweli Croatia ameshinda goal tatu kwa hakuna dhidi ya Argentina 2018 WC group stage ila hii WC 2022 nimeziangalia zile timu zote vizuri Croatia Na Argentina Mimi nampaa karata Argentina
 
View attachment 2443058
Hii picha ya Ronaldo ki ubinadamu inaniumiza sana...I feel his sadness
Sisi mashabiki hatujui wanavyojisikia pale wanaposhindwa kufikia malengo yao... poleni sana.. hata Messi nae akitolewa atalia na nitajisikia vibaya pia kama ilivyokua pia kwa Neymar Jr...
Muda si mrefu naye Messi ataungana na mwenzie

Sema ye atabahatika kucheza playoff
 
Ni kweli Croatia ameshinda goal tatu kwa hakuna dhidi ya Argentina 2018 WC group stage ila hii WC 2022 nimeziangalia zile timu zote vizuri Croatia Na Argentina Mimi nampaa karata Argentina
Mbeleko fc...!! Pale ilikuwa ni red kad kabisa bila ubish...!!!
 
Wacha kujipemdekeza wenyewe hawataki sapoti ya waafrika ila wanataka sapoti ya waarabu na waislam
 
Back
Top Bottom