Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
[emoji838] Normal Player
🟠 GOAT [emoji238]
🟠 GOAT [emoji238]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🐐 mahesabu yake ni extraordinary yani beyond humanity
Kwanini sasa usiseme ArgentinaSababu haikuwa hiyo, hiyo ilikuwa ni kiegesho tu
Ila tunajua ilifanyika vile kwasababu ya Messi
Hapo angekuwa jamaa wa penalty angepaisha shuti
Hilo ndio swali jenyewe sasa.Kumbe mzushii eeh
Halafu mechi zishaisha unabakisha waamuzi wengi wa nini?
Argentina na Messi huwzi kuvitenganishaKwanini sasa usiseme Argentina
Hapo angekuwa jamaa wa penalty angepaisha shuti
Hoja imeungwa mkonoMashabiki wa Argentina tujuane mapema, wale wakuanza kuchacharuka baada ya kuona timu imepata goli hatutawapokea. Mods tunaomba ushirikiano wenu
Lakini ureno bila ronaldo inaenda tu bila shida sioArgentina na Messi huwzi kuvitenganisha
kwa jinsi nilivyocheki kwenye games zenu zilizopita hamna timu ya kumfunga CroatiaNilishakwambia kunywa maji mengi moyo ueleee maana hao Croatia wanapigwa vzr tu ndani ya dk90
Yani wakishafunga unashangaa comments za kushangilia kibaoooo wakati kwenye kujibu hoja za scars wala huwaonii...Mashabiki wa Argentina tujuane mapema, wale wakuanza kuchacharuka baada ya kuona timu imepata goli hatutawapokea. Mods tunaomba ushirikiano wenu
Ni kwasababu bila Messi hakuna sababu ya kumfanya Refa atoe penatiLakini ureno bila ronaldo inaenda tu bila shida sio
Ndio ujue messi ni kiumbe kingine hata angekuwa ureno asingekaa benchi kama mzee wa kulia
Hii unaongea toka game ya Mexico. Watakao kuamini ni wageni wa huu uzikwa jinsi nilivyocheki kwenye games zenu zilizopita hamna timu ya kumfunga Croatia
Nadhani mwenye record mbaya ni yule jamaa wa kulia lia akipigwa benchi maana akijitahidi sana roboPamoja na zaidi ya nusu ya washabiki wa soka duniani wakitamani na wengine wakitaka Argentina kushinda kombe la dunia chini ya Messi, wamesahau kuwa Sir God hapangiwi....
Mwisho wao ni leo! Na Messi anakwenda kuweka rekodi mpya ya kukosa Kombe la Dunia kama kawaida yake!
Sir God hapangiwi ndo maana amevuka kote huko wakati mlikuwa mnamuombea kushindwa...tena amevuka from zero (mechi ya saudia) to hero (anaingia final).Pamoja na zaidi ya nusu ya washabiki wa soka duniani wakitamani na wengine wakitaka Argentina kushinda kombe la dunia chini ya Messi, wamesahau kuwa Sir God hapangiwi....
Mwisho wao ni leo! Na Messi anakwenda kuweka rekodi mpya ya kukosa Kombe la Dunia kama kawaida yake!
Argentina anaweza akawa ana vingi vya kushinda ila sio kwenye mechi ya leoPamoja na zaidi ya nusu ya washabiki wa soka duniani wakitamani na wengine wakitaka Argentina kushinda kombe la dunia chini ya Messi, wamesahau kuwa Sir God hapangiwi....
Mwisho wao ni leo! Na Messi anakwenda kuweka rekodi mpya ya kukosa Kombe la Dunia kama kawaida yake!
Huyo GOAT wenu leo anaenda kuchemshwa supu