Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

550B42AF-61EC-4F4E-AA36-EF7D1B830C52.jpeg
 
Hii mechi ndo utagundua Brazil alikua strong kuliko Argentina [emoji4]
 
Huwa nakereka sana kuona mtu anamuita mwingine hater kwasababu ya criticism

Nyinyi mkimkosoa Ronaldo mnakuwa mnajua mpira, sisi tukimkosoa Messi tunakuwa haters???

Sasa angalau ungefanya hata udadisi wa hicho alichokiandika kama kina ukweli wowote kabla ya kufikia kuniita hater

Hujataka kujisumbua kudadisi kwasababu tayari upo katika upande wake anao support

Mashabiki wa Messi sijui mna tatizo gani?

Walau mwenzako amejitokeza kunipinga kwa data (ambapo zipo na data fake kati ya hizo)

We unakuja moja kwa moja kuniita hater, sijapenda kiukweli.
Ni jokes mkuu usichukulie kila kitu serious asee
 
Back
Top Bottom