Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk ya 19 mambo bado magumu ila Croatia wanapata bao mda si mrefuMliopo mbele ya screen, mechi inaendaje?
Weka akiba ya manenoArgentina out,,kwa huu mpira wa Croatia sion nafasi ya Argentina kupita kabisa
Ni jokes mkuu usichukulie kila kitu serious aseeHuwa nakereka sana kuona mtu anamuita mwingine hater kwasababu ya criticism
Nyinyi mkimkosoa Ronaldo mnakuwa mnajua mpira, sisi tukimkosoa Messi tunakuwa haters???
Sasa angalau ungefanya hata udadisi wa hicho alichokiandika kama kina ukweli wowote kabla ya kufikia kuniita hater
Hujataka kujisumbua kudadisi kwasababu tayari upo katika upande wake anao support
Mashabiki wa Messi sijui mna tatizo gani?
Walau mwenzako amejitokeza kunipinga kwa data (ambapo zipo na data fake kati ya hizo)
We unakuja moja kwa moja kuniita hater, sijapenda kiukweli.
Baada ya ushindi tukajipongeze my love[emoji4]Tupo hapa dear[emoji7]