Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #25,621
Unamjua Mac Allister? Ndio jampoteza huyo fundi wetu wa CroatiaModric kafichwa kabisa ndo engine yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamjua Mac Allister? Ndio jampoteza huyo fundi wetu wa CroatiaModric kafichwa kabisa ndo engine yao
Gollie kapoteza balance ya mwili na mchezaji kamfuata gollie wamegongana refa anaweka mpira eti penaltyAlipaswa aguse mpira kwanza kabla ya kugusana na mtu.
Mchongo tuuu,ile si penalty.
Kipa hajacheza rafu kwa makusudi pale,refa kafeli sana
Penati halali kabisa,Scars atasema penati tumebebwa
Hapa ndiyo nami nimeshangaa eti timu kila mchezo inapewa penalty [emoji28]Nilitaka nikatazame mechi kipindi cha pili ila nimeghairi sasa naona Adidas wameshatembeza bahasha kama tuzoo ya mchongo 2010..
Ahahaha yah usiwaogopeLeo nimejilipua, nimeamua kwenda kibanda umiza, hao sungu sungu nitaruka nao.
Mbinu ndo ushindi WC ,,,, mtoto atajulikana tuWe unashambulia, watu wanakupiga counter unaenda kuuokota kwenye nyavu zako.
Bado nina imani na CroatiaCrotia wakituliza akili kuna goli watapata
Croatia walipigwa 4 fainal unawaamini?😀😀😀😀 Timu mbovu hii ilikuwa inacheza na wabovu tu😅😅😅😅😅Nilitaka nikatazame mechi kipindi cha pili ila nimeghairi sasa naona Adidas wameshatembeza bahasha kama tuzoo ya mchongo 2010..
Gollie kapoteza balance ya mwili na mchezaji kamfuata gollie wamegongana refa anaweka mpira eti penalty
Sent using Jamii Forums mobile app
ZinarudiiTeam Croatia mmenyamazishwa vibaya na mapema sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Mambo ni 🇦🇷🇦🇷🇦🇷🇦🇷🇦🇷🇦🇷🇦🇷🇦🇷🇦🇷
Morocco tunakujaKwahyo mngependa fainali tukutane na nani?