Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #25,821
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajizima data dakika hii? 😆😆😆😆 umewakimbia wenzako?Sure wengi wameloa aisee
Ndio master wao ana wafarijiSasa Dr Licky akiikataa ndiyo inasaidia nini?
Someone scoring 5 goals in one tournament with 4 penalties and he still called GOAT?
Nilipoona ile siku Germany kapigwa..nilihama team zote nikabaki na Morocco tu.Alisikika shabiki mmoja kutokea buza
Goat wa mchongo huyu [emoji23]Someone scoring 5 goals in one tournament with 4 penalties and he still called GOAT?
Anayetolewa kwenye hii hatua ana mechi ya kuwania nafasi ya 3.Kesho France wanarudi Paris mapema mno.
Itakuwa Dr. Licky ni mtawa wa FIFA. [emoji16]Sasa Dr Licky akiikataa ndiyo inasaidia nini?
Wee!Unajizima data dakika hii? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umewakimbia wenzako?
Fainali inajulikana ni Argentina vs FranceKesho France wanarudi Paris mapema mno.
Anaingia beki na yeye enzi anacjeza alikuwa beki so kuna maarifa anakaziaNaona Walter Samuel anaingiza watu wake,mechi kaachiwa yeye.
Pole, kama kwetu wanakata na kurudishaTANESCO kashafanya Yao huku kwangu