Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Khaaa!! 😂😂😂Argentina tafuteni pa kwenda
Sijui mtahamia timu gani
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaa!! 😂😂😂Argentina tafuteni pa kwenda
Sijui mtahamia timu gani
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Watu wanajikita kwenye penalties tu wanazitumia kama kichaka cha kuficha aibu zao, hao ni wazamiaji tu sio watu wa SoccerMagoli yamefungwa matatu. Messi kafunga na ametoa assist hivyo tafuta sumu hapo unywe.
Kuna watu watajua hii picha imepigwa siku moja 😀
And there are some people who pretend to hate himYou can’t hate this manView attachment 2445884
Asilie ovyo sasa anatakiwa atunze machozi yake atayatumia siku ya Finally maana siku hiyo lazima alie kwa matokeo yeyote atakayopataKocha wa Argentina analia
😂😂😂😂😂😂😂😂 Aiseeevile Leo amefanya aseee nilikuwa na furaha ya ajabu yani machozi yalitoka kwa furaha🥹 nilipiga shangwe zito sana
Walizoea ku-buy time mpaka mipenati ili keeper wao mchawi awavushe this time around tukasema haiwezekaniWanaume wanamaliza hesabu ndani ya dk 90 hakuna cha extra time wala nn
Argentina 🇦🇷 wana mbwembwe balaa…. Ndoo ikienda kwao nahisi hii jezi wataipeleka Juani ☀️ maana Mwezini patakuwa hapafai. HahahMambo yalivyo huko Argentina kwa sasa baada ya kutinga fainali kibabe..! Jezi ya Messi inapeperushwa na Chopa.View attachment 2445944
Mambo za unafki siziwezi you know 😒Ha😄 ha😄 h!!!!!
Nakuhurumia sana D maana kila dua unazopiga zinakukataa
Ngoja leo tuone nani atakutana na Argentina 🇦🇷 kwenye fainali
📌Punguza kukunja, Uwe unatoa pongezi japo kinafki D
I know 😃😃….. wewe ni mtu wa dua tuMambo za unafki siziwezi you know 😒
kabisa MkuuKuna watu watajua hii picha imepigwa siku moja 😀
Yaani ndo nimeona matokeo asubuhi hii .[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] Tinsley dear hongeraaaaaa
@Corrasco Putin[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji24][emoji24][emoji24]
assist ya messi unWeza tumia kama kifungua kinywaYaani ndo nimeona matokeo asubuhi hii .
Mambo ni fire fire
Kama copa america tuView attachment 2445973
Sasa hawa Croatia kwanini mkambania Brazil afu mmekuja pigwa na Andunje?
Hizo kamari, pombe ndio wadhamini wakubwa wa mchezo....ila haziufanyi mchezo kuwa haramu kumbuka dunia ya sasa imegeuka uwanja wa fujo hivyo ukiangalia kwa hilo jicho utaona kila unachogusa ni haramu maana hujui kimepitia wapi.Hayo ndiyo yanayofanya owe HARAMU kwa sababu huwezi vitenganisha kwa sasa