Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Magoli yamefungwa matatu. Messi kafunga na ametoa assist hivyo tafuta sumu hapo unywe.
Watu wanajikita kwenye penalties tu wanazitumia kama kichaka cha kuficha aibu zao, hao ni wazamiaji tu sio watu wa Soccer

Yaani hawaoni jinsi jamaa anaichezesha timu? Hawaoni zile assist jamaa anapiga mechi baada ya mechi? Ufanisi wa pass zake, Dribbling skills…….

This man ni full package naimani hata siku kipa wake akipewa red card atakaa yeye Golini na kazi ya kudaka ataifanya vyema
 
Ha😄 ha😄 h!!!!!

Nakuhurumia sana D maana kila dua unazopiga zinakukataa

Ngoja leo tuone nani atakutana na Argentina 🇦🇷 kwenye fainali

📌Punguza kukunja, Uwe unatoa pongezi japo kinafki D
Mambo za unafki siziwezi you know 😒
 
Hayo ndiyo yanayofanya owe HARAMU kwa sababu huwezi vitenganisha kwa sasa
Hizo kamari, pombe ndio wadhamini wakubwa wa mchezo....ila haziufanyi mchezo kuwa haramu kumbuka dunia ya sasa imegeuka uwanja wa fujo hivyo ukiangalia kwa hilo jicho utaona kila unachogusa ni haramu maana hujui kimepitia wapi.
 
Back
Top Bottom