Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Ha ha ha itakuwa messi hakuiona hiiWe will never forgive you Messi, never. 🤣 🤣 🤣
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha itakuwa messi hakuiona hiiWe will never forgive you Messi, never. 🤣 🤣 🤣
![]()
Tunatofautiana mkuu, Kuna watu wanaangalia kupoteza muda na kuna wengine tunaangalia kama burudani. Mimi siwezi kukomaa na shida kwenye burudaniDuh!.
Huumii macho? Chenga mno.
Katukosesha utamu..We will never forgive you Messi, never. 🤣 🤣 🤣
![]()
Coman ndiyo hataweza kabisaDembele mpira leo umemkataa kabisa.
anasema alitegemea azuiwe na maulamaa, naona na wenyewe wameamua kuburudika na kuacha misimamo mikali kwa mavazi uchi ya miss huyuWe will never forgive you Messi, never. 🤣 🤣 🤣
![]()
Mleteeeeeeeeeeee tumekaaa pale tunamsubiriii jumapiliiiFrance wafunguke watafute bao lapili, hili swala la kuzuia sio nature yake na ndio maana kuna loopholes nyingi naziona
Leo game imemkataa kabisa, bora aingie Coman.Coman ndiyo hataweza kabisa