Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mpaka kufikia jana kikanuni England walikiwa bado na nafasi ya kuchukua ubingwa🤣🤣🤣
Screenshot_20221218-160501~2.png
 
Na hii ndio price ya kukurupuka na kuleta shobo...Siku nyingine uache shobo ewe average joe.
Wew ambaye hujakukulupa umetumia akili uzangumzia bahati na avarage mtu mwenye akili anaweza akawa anazungumza bahati wew bila shaka umebemendwa
 
Leo nataka kubeti kwa mara ya kwanza.. ila nataka nibeti kwa Argetina kuchukua wordcup. Je inawezekana kubet atakae nyanyua ndoo.. na sio betting ya magoli au ft yaani nataka nibet kwa atakae beba ndoo.. either by ft, extra time au penalties
 
Back
Top Bottom