ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Halafu Nyie Argentina Mnakumbuka Tulisha Wapiga 4 Na Mbappe Akiwafunga? Leo Kinawakaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jaman ndo umerudishwa leo?? polee karibu tenaTubet ukifungwa nipe K
AmenMessi anaenda kuchuka usiku wa Leo tuzo 4
Mchezaji Bora wa kombe la dunia
Mchezaji Bora wa mechi ya Leo
Mfungaji bora wa kombe la dunia
Medali ya ushindi wa kombe la dunia
View attachment 2450508
Anacheza namba ngapi Ufaransa?Nipo Na Ufaransa Kwasababu Ya Ronaldo Mapenzi Yangu kwa Ronaldo Hayataisha Leo Wala Kesho.
me naijua nisemeeeeeee hahahaAccount gani?
Wew ambaye hujakukulupa umetumia akili uzangumzia bahati na avarage mtu mwenye akili anaweza akawa anazungumza bahati wew bila shaka umebemendwaNa hii ndio price ya kukurupuka na kuleta shobo...Siku nyingine uache shobo ewe average joe.
La victoire est sûrement nous.Aujourd'hui, nous devons gagner
Anacheza namba ngapi Ufaransa?
En effet[emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073]La victoire est sûrement nous.
Mpira ukiisha utaandika kiswahiliLa victoire est sûrement nous.
[emoji16][emoji16][emoji16]Mpira ukiisha utaandika kiswahili
Tulia mkuu tunakula mbusi leoMkuu naona umeamua kuchafua hali ya hewa kabisa
ila sawa haina noma 💪
Relax tutakula mbusi chomaaa 😂😂Mpira ukiisha utaandika kiswahili
Nafikiria kubadili ID yangu nijiite Messi...Breaking news: Messi amekunywa maji na kumaliza katika glasi yake