Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Sipendi waafrika wawe chawa wa Messi 😂NA SPANISH
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipendi waafrika wawe chawa wa Messi 😂NA SPANISH
Mabingwa wateteziBaada ya chama letu kutoka ulihamia wapi kwani?
Kwamba ufaransa ime?Te transferiré a Francia para que te comas una cabrá 😀
GoodNa hiyo ndio ya kwanza kujifunza
Mabingwa wateteziBaada ya chama letu kutoka ulihamia wapi kwani?
HAHAHAHAHA HYO LUGHA YA KIMAPENZI NA YA KIMATAIFAAA WATALII WANAIPENDA HATAREEE. UKIJUA NA HIYO HULALI NJAASipendi waafrika wawe chawa wa Messi 😂
Na wameimba kwa utulivuSikia nyimbo la taifa la France hiloooo kwanza mama anasauti
DI MARIA ANA MBIO HATAREE MEFURAHI KUMUONA ANAANZAADi Maria leo anaanza
WE LOVE HIM FOR LIFE IJE JUA IJE MVUAVamos Argentina
From Argentina to africa we love you messi
We acha tu wazungu Kila kitu wanafanya Kwa waledi sanaNa wameimba kwa utulivu
[emoji1787][emoji1787] la Ajentina wamefoka sana
Afu ni chombo kweli kweliSikia nyimbo la taifa la France hiloooo kwanza mama anasauti