Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

The Man himself ❤️
FB_IMG_16713772597583096.jpg
 
Tatizo France leo wamepaki sana basi ilikuwa ni suala la muda tu kuanza kuwachezea foul wenzao

Daah kumbe Argentina inaogopwa eh Sikutegemea kama France ingekuwa timu ya kupaki basi

France msianze story zenu za mchongo ina maana na hizo nafasi mnazokosa nazo ni mchongo siyo
 
Back
Top Bottom