Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Huna lolote! Utabiri umeenda kombo kwanza wamebebwabebwa tu mpaka kufika hapo watu wanacheza rafu kama wamerogwa bana! Ngoja uone mchezaji wako bora anajinyea hadharani leo! Mbappe kamlipia Kisasi Idol wake RONALDO! kwa sababu ureno ilitolewa kwa fitnaHata usipobeba kombe, kwangu mimi wewe ni mchezahi bora zaidi kuwahi kutokea katika uso wa duniaView attachment 2451017