Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #30,281
Argentina bingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia tena argentina bingwa
hawana haliWaajentina wa bongo wamebana pumbu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Noo, kwenye penalty akina okwonko si wa kuwaamini sana.Penati nawapa nafasi Ufaransa
Penati nawapa ArgentinaKuwa mzalendo hadi dk ya mwisho mkuu, usimsaliti Messi mapema hivi
Baada ya mabadiliko Ufaransa imebakiwa na mchezaji mmoja tu mzungu yule kipa wao Lloris. Wengine wote waafricasasa naiona timu ya Afrika yenye makazi yake nchini France ikituheshimisha.
Nakunywa gongowewe uliyeweka picha ya bibi mpaka sasa unakunywa nini
Tusikubali kirahisiSisi wafaransa tushakubali yaishe