Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tumeamkaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaa
Vamossssssssssssssssssssssss [emoji1033]
Asee niliamka nikarud tena kulala.. Mabingwa bana tuna mbwembwee sana kiukwl.

THE NEWWWWWWW REIGNING WORLD CUP CHAMPIONS LA ALBICELESTE[emoji1033]

Vamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
20221219_111454.jpg
 
Mbappe tunamkubali sana lakini anahitaji jitihada beyond human limits, nidhamu, na muhimu kuliko yote kudra za Mungu kuweza kufika walau robo ya ambacho Messi na Ronaldo wameifanyia dunia ya mpira.

Mtu kama Messi kama ulibahatika kumuona wakati ana miaka 19, wakati anavaa jezi namba 30, baadae akavaa namba 19 long before hajaanza hata kuvaa namba 10, wakati anapiga hat trick mbele ya Madrid ilojaa wachezaji wakali wote ulokua unawajua, huwezi kumkweza Mbappe mapema hivi.

Mimi Messi nimeanza kumfuatilia game moja ya UEFA na Chelsea ilichezwa darajani, Chelsea ilikua na watu wana roho mbaya kuliko unavyoweza kudhania ila kijana miaka 19 alikua anaweza kutembea na mabeki hata wanne kwenye chaki na anafika anakokwenda fresh tuu, the rest ni historia.

Baada ya VAR kuwa introduced kwenye mpira na baada ya generation ya Messi na Ronaldo kupita, nitaacha rasmi kushabikia mpira, nitakua naangalia kama burudani halafu nitahamia tu UFC.

Messi kawasumbua mabeki makini na hatari hata wao wanakiri Messi ni jini tukianza na Gatusso, Pepe, Ramos, Ferdinand, Vidic, Boateng nknk hao wanamjua Messi vizuri na wanakiri mpaka sasa.
 
Nadhani ungeangalia muda nimepost ..na mchezo ulikuwa Bado kabisa imagine Ni 2 sifuri na nikapatia nikasema watafikia ma penalt na imefika [emoji7]
Huu sio utabiri Bali ni mtazamo,tatizo unatafuta umaarufu jf na kutaka ujulikane kuwa wewe ni mtabiri,watabiri huwa wanatabiri kabla ya tukio kutokea,ulicholeta wewe ni mtazamo.
 
Tutaenda mama tuombe uhai na afya
View attachment 2450665

Anyone with any plans to participate in 2026 World Cup. Am in...[emoji4]

For football fans, challenge yourself and start to save January 2023 ready for 2026 world Cup..... [emoji1635][emoji1635][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482].

Happy Sunday everyone as you prepare to watch the final match today [emoji112].
 
Back
Top Bottom