Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1487]
[emoji23]Nomaa.. Mabingwa wa dunia sherehe ndo kama zimeanza asee.

Vamoooooooooos [emoji1033]
20221220_221821.jpg
 
Ndio uko sahihi kabisa, anatamba katika dunia ya sasa ambapo kiwango cha mpira kiko chini sana kuliko zama zote katika historia ya soka.

Sheria zimekuwa nyingi eti kulinda mastaa, faulo nyingi ambazo enzi hizo adhabu zake zilikuwa ni kadi ya njano siku hizi ni nyekundu.

Huyu Messi enzi za akina Bobby Moore au Franz Berkernbouer asingecheza kabisa mpira, matako yangeota kutu kwenye benchi.

Watoto mliozaliwa kwenye miaka ya tisini hamuwezi kufahamu haya ninayoyasema hapa na kama nasema uongo waulizeni akina Zamoyoni Mogella au akina Sunday Manara kwani bado wapo.

Kwahiyo yeyote anaemkubali Messi ni mtoto! Nnahakika wewe ni mdogo sana kwangu..hivyo kuwa na adabu mkuu!
 
Sawa wasalime ma ucle wambie mbappe ndio mfungaji Bora wa kombe la Dunia 2022 mana hamkawi kudanganya watoto na uwambie kwamba Messi hili ndio kombe lake Dunia la mwisho

🏆🏆🏆🇦🇷💪🏽

Mpappe wenu still anaugulia maumivu chawa wa ronaldo huyo.. tena hatakiwi hata kununa mbele ya wenye mpira wao (Laa Seleccion), mbele ya mfalme wa soka LEO10, mbele ya mashabiki kote duniani.. Ni aibu aibu.

Ahsanteni sana Argentina kunipigia hao wafaransa weusi
 
Back
Top Bottom