Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Mnasemaje huu uzi utembee hadi 2026.
Au MODS huu uzi ugeuzwe uwe WORLD CUP SPECIAL THREAD
Upelekwe kwenye Thread ya (Argentina National football team) au ibakie hivyo hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnasemaje huu uzi utembee hadi 2026.
Au MODS huu uzi ugeuzwe uwe WORLD CUP SPECIAL THREAD
Mbona kama mpo msibani na mijezi yenu kama wakimbizi wa kivitaVAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Leo is my Goat🤍[emoji171]
[emoji238]….View attachment 2456242
Afcon United ... Wanapokea mashambulizi na hawatetewi
View attachment 2456895
Wakiahinda wore wafaransa wakifungwa Kuna Mcongo, Angola, Mghana n.kFunguka ueleweke.. hao sindio tumewalamba?
Wakiahinda wore wafaransa wakifungwa Kuna Mcongo, Angola, Mghana n.k
Sijazungumzia kombe la ulimwengu. Soma kwa makini.Mwafrika wako akasome mkuu.. kuwa na world cup sio issue ya kuwa bora zaidi ya wengine.. Messi na Diego weka mbali na hawa..
I miss my team Argentina [emoji1033]
This is the best comment I have seen in this year 👏WHO IS DR LEAK? MUNGU SAFARI HII AMEamua messi ALIBEBE
TULIANZA NA MUNGU TULITEMBEA NA MUNGU TUNAMALIZA NA MUNGU.
KILA LA HERI ARGENTINa. MI CROATIA YENYE MIGUVU IFUNGWE SEMBUSE HAO FRANCE. NASEMA HIVI MUNGU TUNAYEMUOMBA SIO WA MCHEZO NA HASEMI UONGO. ARGENTINA ANAHSINDA. ILE M,ECHI YA KWANZA MESSI ALIDHArauliwa sana NA NDO MAANA MUNGU AKAMFIKISHA FINALS ILI MJUE KUFELI MARA MOJA SI KUFELI MAISHAAAAA
Le campiones de la mundo
Mashabiki wa.uto ni mandondochaWatoto wangu watatu wajao ntawapa majina yafuatayo:
1. Leome kutoka kwa Leonel Messi.
2. Allister kutoka kwa Alexis Mac Allister.
3. Emilliano kutoka kwa E.Martinez.