Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Hivi kati ya Ariana Grande na Camilla Cabello nani hatari zaidi???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaoNi kina Nani hao?????[emoji1745]
Wachonganishi hao🤣🤣🤣
Positions .Camila Cabelo
Namkubali sana hasa akiwa kwenye live show, yupo vizuri sana.
Ariana Grande
Namkubali hasa melody zake, nikiwa na mood nzuri nasikiliza nyimbo zake nikiwa home. Ana dude linaitwa position ni kali sana
Camilla ni balaaHivi kati ya Ariana Grande na Camilla Cabello nani hatari zaidi???
Pamoja na kujidai na maujanja yangu yote hapa natoka kapa..semeni ni wasanii wa x au?sina wasiwasi nina bundle langu ngoja nikawa google chap kwa