Ariana vs Camilla; Nani zaidi?

Ariana vs Camilla; Nani zaidi?

Ariana anafanya vizuri sokoni, camila sijui tatizo nyota ila ana sauti nzuriii🤣🤣🤣
 
Camila Cabelo
Namkubali sana hasa akiwa kwenye live show, yupo vizuri sana.

Ariana Grande
Namkubali hasa melody zake, nikiwa na mood nzuri nasikiliza nyimbo zake nikiwa home. Ana dude linaitwa position ni kali sana
 
Positions .

Next..

7 rings..
 
Pamoja na kujidai na maujanja yangu yote hapa natoka kapa..semeni ni wasanii wa x au?sina wasiwasi nina bundle langu ngoja nikawa google chap kwa
 
Back
Top Bottom