Aris-Udsm

Aris-Udsm

Hongera mkuu natumai September conference haikuhusu

aisee namshukuru Mungu maana kulikuwa na Dk mkorofi alikua ananinyima raha na kozi yake ila nimemchomoa tena kwa kishindo! hahaha!
 
am not kidding dude!!
yani system imekuwa set according to standing debts alizo nazo mwanafunzi. kama huna deni kwa huo mwaka utayaona matokeo na kama unalo huwez kuyaona.

huu ni utaratibu wa siku nyingi toka chuo kilipo introduce cost sharing na has pale ambapo ada wanafunzi wanakopeshwa nusu nusu kinyume na enzi zile ambazo wanafunzi walikuwa wanalipiwa ada yote
Aisee... kwa hiyo hii haiathiri wale wanaopata mikopo?

kwa sababu ili upewe boom kwa kipindi kinachofuata ni mpaka matokeo yako yapelekwe bodi ya mikopo ili waone validity yako pale chuoni kama unaendelea ama umedisco.. sasa hapa usumbufu utakuwa umeongezeka ama vipi?
 
Acha kumdanganya, hata ukidisco ni lazima uyaone matokeo yako then afer few weeks wanakufuta aris Ndipo hutaweza kuyaina.

mwaka huu wamedisco wangapi UDSM na supp mmeshajua ziko ngapi?

cc Perry.
 
Last edited by a moderator:
Aisee... kwa hiyo hii haiathiri wale wanaopata mikopo?

kwa sababu ili upewe boom kwa kipindi kinachofuata ni mpaka matokeo yako yapelekwe bodi ya mikopo ili waone validity yako pale chuoni kama unaendelea ama umedisco.. sasa hapa usumbufu utakuwa umeongezeka ama vipi?

Kuathirika ni lazima kwakuwa bodi lazima ipokee majina kutoka chuo ya wanafunzi wanaoendelea na masomo na pia inaweza kutoathiri ikiwa chuo kitakuwa na huruma na kuyapeleka majina ya wanafunzi wote Bodi kwakuwa wao wanajua matokeo ya mwanafunzi. Hii ina depend na education instituition husika.
 
Kuna system kua matokeo yanakua held kama unadaiwa na pia Kwa Muce imetokea kua wengine wamelipa ila hawayaoni na cha kufanya wameambiwa watoe taarifa DARUSO
 
Kuna system kua matokeo yanakua up held kama unadaiwa na pia Kwa Muce imetokea kua wengine wamelipa ila hawayaoni na cha kufanya wameambiwa watoe taarifa DARUSO
 
CHUO KUZUIA MATOKEO YA MWANAFUNZI ANAEDAIWA NI UPUNGUFU WA FIKRA KWA WASOMI WETU WANAOFANYA KAZI KWA MAZOEA TUU, MWANAFUNZI YUPO MWAKA WA 1AU 2 UNAMZUILIA MATOKEO ILI IWEJE WAKATI BADO YUPO CHUONI NA MNAWEZA KUMBANA WAKATI WOWOTE SASA MTU ASOMA MFANO MUCE THEN KWAO BUKOBA HUJAMUONYESHA MATOKEO YAKE AKAJUA KAMA KUNA SOMO AMESAP AU VIPI UNATEGEMEA ATAWEZA KUTOKA BUKOBA AKAFATILIE MATOKEO CHUONI?? MIMI SIONI BUSARA ZA WASOMI HAPA ZAIDI YA KUTURITHISHA CHUKI NA ROHO MBAYA TUTAKAYOENDA LIPIZA KISASI MAKAZINI NA URAIANI... HIVI KWELI HUU NDIO UZALENDO TUNAOFUNDISHWA TUWE NAO WASOMI...!!?? IMENIUMA SANA RAISI WA MUCE (DARUSO)AMEPIGIWA SIMU KUULIZWA NA KUJIBU KUWA NI JAMBO AMBALO KASHINDWA KULIPIGANIA; KWA NINI ASIJIUZULU KUONYESHA HISIA ZA WANYONGE ANAOWAWAKILISHA?? AU MNAENDELEA KUTETEA MSEMO WA ALIYE SHIBA HAMJUI MWENYE NJAA?? HII NCHI INAENDA WAPI?? NYINYI WASOMI MLIOUNDA SHERIA ZA KUZUIA MATOKEO HAMKUSOMA BURE NYINYI ENZI ZA MWALIMU?? HIVI UZALENDO UNAJENGWA JKT KWA KUFANYISHWA KAZI NGUMU NA NJAA AU UNAJENGWA KWA ELIMU HURU NA ISIO NA UBAGUZI KWA RAIA WAKE...? IMENIUMA SANA TUNAJENGA TAIFA LINALOELEKEA WAPI😡😡😡
 
mwaka huu wamedisco wangapi UDSM na supp mmeshajua ziko ngapi?

cc Perry.

itajulikana kesho baada ya college nyingne znazosifika kwa kula vichwa kama COET,COHU,UDSL na COSS zikitoa matokeo yao.lakin kwa haraka tu,matokeo sio mazuri,mwaka wa kwanza udbs,vijana 37 wameliwa vichwa tayar huku robo tatu wakiwa wamesup somo la accounting.over
 
mwanafunzi ana disco baada ya kushindwa kuchomoa sapu alizopata au hata kabla ya September conference? hebu nieleweshe
 
mwanafunzi ana disco baada ya kushindwa kuchomoa sapu alizopata au hata kabla ya September conference? hebu nieleweshe

Hata kabla ya conference waweza disco endapo GPA yako itasoma below 1.8. Kibali cha kuhudhuria conference ni GPA ya 1.8 and above except kwa CONAS nadhani maana wao ni 2.0
 
Hata kabla ya conference waweza disco endapo GPA yako itasoma below 1.8. Kibali cha kuhudhuria conference ni GPA ya 1.8 and above except kwa CONAS nadhani maana wao ni 2.0

yap nimekuelewa mkuu,,
 
itajulikana kesho baada ya college nyingne znazosifika kwa kula vichwa kama COET,COHU,UDSL na COSS zikitoa matokeo yao.lakin kwa haraka tu,matokeo sio mazuri,mwaka wa kwanza udbs,vijana 37 wameliwa vichwa tayar huku robo tatu wakiwa wamesup somo la accounting.over

duh....hii ni hatari aisee,
pia kuna hili somo la business communication skills la UDBS (CL 108)...nalo limewapa wana-Udbs wengi wa first yr tickets za September conference
 
Hata kabla ya conference waweza disco endapo GPA yako itasoma below 1.8. Kibali cha kuhudhuria conference ni GPA ya 1.8 and above except kwa CONAS nadhani maana wao ni 2.0

ila unaweza kuhudhuria conference ukiwa na gpa ya below 1.8 ikiwa tu, una special exams za kuclear,hapo wewe kesi yako inakua tofauti na wengine.
 
Back
Top Bottom