Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
itajulikana kesho baada ya college nyingne znazosifika kwa kula vichwa kama COET,COHU,UDSL na COSS zikitoa matokeo yao.lakin kwa haraka tu,matokeo sio mazuri,mwaka wa kwanza udbs,vijana 37 wameliwa vichwa tayar huku robo tatu wakiwa wamesup somo la accounting.over
,COHU na COSS mwaka wa kwanza udbs,vijana 37 wameliwa vichwa tayar huku robo tatu wakiwa wamesup somo la accounting.over
Dah nasubiria matokeo kwa hamu niyaone mh mbona hao wa udbs wengi sana basi na hapo bado COET UDSL idadi itakuwa kubwa
Kuna Dr mpare alikua hapo kwa sasa ni mkuu wa wilaya alikua pasua kichwa namuongelea Kadeghe.
Ni kadhege alikuwa akisema ana kamata shuttle tano ujue kuna kuumia tangia aonde Cl hawakamati watu wengi kama enzi zake
poa kaka, nangoja matokeo!itajulikana kesho baada ya college nyingne znazosifika kwa kula vichwa kama COET,COHU,UDSL na COSS zikitoa matokeo yao.lakin kwa haraka tu,matokeo sio mazuri,mwaka wa kwanza udbs,vijana 37 wameliwa vichwa tayar huku robo tatu wakiwa wamesup somo la accounting.over
poa kaka, nangoja matokeo!
ila pole zao..
Kama nakuona roho inavyokudunda hapo ulipo