Waziri ndiye mbunge wetu ambaye sisi tumempigia kura ili aende kusimamia usalama pamoja na maslahi yetu. Sisi hatukumpigia kura balozi.
Sisi tunamsukuma Waziri ili na yeye amsukume Balozi wake huko Ulaya.
Ndio ninafahamu mkuu?Unafahamu kuna mawaziri wanotokana na ubunge wa kuteuliwa na Rais au viti maalumu?
Classmate wako eti hahaha
Sijui ila Wizara sasa ndio inapaswa kusema ili watanzania wawe na peace of mind kuwa hakuna roho za wenzao ambazo zipo rehani kule.
Balozi Zetu nyingi ni kama Stoo tu za kutunzia vitabu. Hazina Maana. Siku ukibahatika kusafiri utaamini haya niliyoandika hapa.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio Armenia pamoja na Azerbaijan?
Kuna mapigano makubwa ya kijeshi yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo leo baina ya nchi hizo mbili?
View attachment 1584584
Mgogoro huu inasemekana ni wa muda wa karibu miongo minne. Lakini ulikuja kuwa mkubwa sana baada ya nchi hizi mbili kupata uhuru wao kamili miaka ya 1990 na kuendelea.
Inasemakana Russia inawaunga mkono Armenia huku Uturuki ikiwaunga mkono Azerbaijan. Jumapili hii ya juzi ya tarehe 27 September 2020 kumetokea kurushiana risasi, ndege kuangusha vifaru kulipuliwa mpakani mwa nchi mbili huku kisa cha haya ikiwa ni sehemu ya Nagorno-Karabakh inayogombaniwa na nchi hizi.
Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Yaani ukimaanisha unakua unaondolewa kipururu kwa geji sio?Ninamaaisha una-reply comments zako mwenyewe. Yaaani kama vile unajitekenya na kucheka mwenyewe.
Eehh ehhh !!Kulitokeaga vurugu hapo msumbiji wabongo wakanyanganywa mali zao na kuumizwa,mzee baba akatoa tamko acha wakipate pate tu kwani wameenda kufanya nini huko Msumbiji.
nmefuatilia nmeona ilisitishwa toka mwaka 1991Soviet bado ipo?
Sijui hata ndio una maana gani kwa hii kauli yako.Yaani ukimaanisha unakua unaondolewa kipururu kwa geji sio?
Absolutelynmefuatilia nmeona ilisitishwa toka mwaka 1991
Huyo jamaa anapenda sana masihara hata katika serious issues.Aisr
Eehh ehhh !!
Hao sidhani kama tuna mahusiano naokwani Tanzania haina ubalozi huko Armenia au Azerbaijan?
nadhani swali hili wangeulizwa mabalozi wa huko nategemea watakuwa na cha kujibu
basi waziri mwenye dhamana afuatilie jambo hiliHao sidhani kama tuna mahusiano nao
Masihara hapo yako wapi?Huyo jamaa anapenda sana masihara hata katika serious issues.
Kama una ndugu huko na haujui anaendeleaje na hali ilivyo,mwache usisumbue watanzania Kama hawana hiyo peace of mind,maana kafuata nini nargono karabakh ambako kihistoria yanayotokea ni kawaida yaoSijui ila Wizara sasa ndio inapaswa kusema ili watanzania wawe na peace of mind kuwa hakuna roho za wenzao ambazo zipo rehani kule.
Wapo busy na ChademaNgoja wanadiplomasia waje mzee baba. Mimi bado kilaza wa mambo haya.
Tunasubiri official statement itakayosema kuwa huko hakuna mtanzania.hizo nchi hakuna mtanzania.
Magufuli hawezi kuuza Nchi ni Mzalendo haswa Usimfananishe na wale waliotumwa na Wazungu.Wapo busy na Chadema