Armenia - Azerbaijan Military and Political Turmoil: Wizara ya Mambo ya Nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio katika nchi hizo?

Armenia - Azerbaijan Military and Political Turmoil: Wizara ya Mambo ya Nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio katika nchi hizo?

Unafahamu kuna mawaziri wanotokana na ubunge wa kuteuliwa na Rais au viti maalumu?
Waziri ndiye mbunge wetu ambaye sisi tumempigia kura ili aende kusimamia usalama pamoja na maslahi yetu. Sisi hatukumpigia kura balozi.

Sisi tunamsukuma Waziri ili na yeye amsukume Balozi wake huko Ulaya.
 
Inawezekana Waziri Kabudi yuko busy kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.
Sijui ila Wizara sasa ndio inapaswa kusema ili watanzania wawe na peace of mind kuwa hakuna roho za wenzao ambazo zipo rehani kule.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio Armenia pamoja na Azerbaijan?

Kuna mapigano makubwa ya kijeshi yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo leo baina ya nchi hizo mbili?

View attachment 1584584

Mgogoro huu inasemekana ni wa muda wa karibu miongo minne. Lakini ulikuja kuwa mkubwa sana baada ya nchi hizi mbili kupata uhuru wao kamili miaka ya 1990 na kuendelea.

Inasemakana Russia inawaunga mkono Armenia huku Uturuki ikiwaunga mkono Azerbaijan. Jumapili hii ya juzi ya tarehe 27 September 2020 kumetokea kurushiana risasi, ndege kuangusha vifaru kulipuliwa mpakani mwa nchi mbili huku kisa cha haya ikiwa ni sehemu ya Nagorno-Karabakh inayogombaniwa na nchi hizi.

Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Balozi Zetu nyingi ni kama Stoo tu za kutunzia vitabu. Hazina Maana. Siku ukibahatika kusafiri utaamini haya niliyoandika hapa.
 
Dogo leo kama sijakuelewa.
Nijuavyo tamko hutolewa endapo kuna taarifa za raia husika wametendewa visivyo au mipaka imefungwa na wamekwama kutoka au wako hatarini kwa namna yoyote ile.
Ikiwa mapigano ni ya muda mrefu, kwanini unafikiri sasa ndio muda mwafaka kwa tamko?
 
Sijui ila Wizara sasa ndio inapaswa kusema ili watanzania wawe na peace of mind kuwa hakuna roho za wenzao ambazo zipo rehani kule.
Kama una ndugu huko na haujui anaendeleaje na hali ilivyo,mwache usisumbue watanzania Kama hawana hiyo peace of mind,maana kafuata nini nargono karabakh ambako kihistoria yanayotokea ni kawaida yao
 
Back
Top Bottom