Armenia - Azerbaijan Military and Political Turmoil: Wizara ya Mambo ya Nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio katika nchi hizo?

Armenia - Azerbaijan Military and Political Turmoil: Wizara ya Mambo ya Nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio katika nchi hizo?

Balozi yetu inayohusika na nchi hizo ndiyo ya kuwapa hao watz taarifa muhimu kama hizo
Sisi wananchi tulimpigia kura mbunge wetu ambaye ndiye waziri na sio balozi. Kwa hiyo sisi tunaihoji ofisi ya waziri kisha yeye ndiye amuulize balozi wake.
 
Kulitokeaga vurugu hapo msumbiji wabongo wakanyanganywa mali zao na kuumizwa,mzee baba akatoa tamko acha wakipate pate tu kwani wameenda kufanya nini huko Msumbiji.
Mkuu Hahaha wale walisaidiwa kwenda hadi makwao...
 
Back
Top Bottom