Arnold Schwarzenegger apata ajali jijini Los Angeles

... nahisi alijua yuko kwenye igizo la kibabe kama enzi zake zile! Paap; kumbe yuko barabarani! Illusion.
Au ni maandalizi ya kigongo kipya
 
Itakuwa alikuwa pale Nyangoye kutokea Rwamishenye. Pale kuna kona mbaya alafu mteremko, nimeishi pale ajari nyingi nimezishuhudia
 
Hujui lolote kuhusu bima, bora uulize kuliko kuandika stori ndeeefu ziszo na mashiko
Mimi sijui. Vipi nikikugonga sehemu wazi kimakusudi bila sababu yoyote au nikikugonga kwa uzembe wangu kama speed kali au ulevi napo bima italipa hata kama ni premium?
 
Itakuwa alikuwa pale Nyangoye kutokea Rwamishenye. Pale kuna kona mbaya alafu mteremko, nimeishi pale ajari nyingi nimezishuhudia
πŸ˜€..ilikua Kale ka mteremko ka Kashura pale maeneo ya kanisani mama akaivaa harier new model kipindi hicho ndo zinatoka toka!
Vizur mkuu umeishi kule!! kule nilichopendea ni hali ya hewa aiseeh kupo greenish sana!! beach za kiroyera..e.t.c..bk kuna kauzur kwa namna yake...
 
Hujui lolote kuhusu bima, bora uulize kuliko kuandika stori ndeeefu ziszo na mashiko
wewe ndo hujui lolote kuhusu bima!! hapo nimeandika juu juu..Generalization...sasa ukitaa nikuelezee kwa ufasaha useme...

nimeandika kwamba bima huwa hawalipi kirahisi rahis lazima wafanye assessment zao! sasa utasemaje sijui lolote kuhusu bima wakati nimeandika sentesi moja!
Wewe ni Juha kweli kweli..usipende ligi za kijinga na watu usiowajua
 
Huenda hiki kizazi cha sasa wanaweza wasimjue sana huyu Mnyama wa "COMMANDO".
 
Mimi sijui. Vipi nikikugonga sehemu wazi kimakusudi bila sababu yoyote au nikikugonga kwa uzembe wangu kama speed kali au ulevi napo bima italipa hata kama ni premium?
mkuu huyo jamaa anayejiita Abuu hajui lolote kuhusu bima anataka ligi zisizo na maana!! Ndo maana nikasema kama kila ajali bima wanalipa wote wangefirisika!! Bima wana vigezo vyao ambavo vinawabana sana watumiaji wa vyombo vya moto au wafanyabiashara..

ingekua ni rahisi hivo mfano labda nina duka kariakoo lina bima kubwa na linaelekea kufirisika nikipiga kiberiti duka anadhani jamaa watotoa mpunga kirahisi..ni ngumu sana sana
 

Mbona yanakutoka matusi? Unajua ni vipi bima wanalipa ajali? Au unazungumza habari za mitaani? We unadhani ajali zote zinatokea bahati mbaya? Uliambiwa wapi kwamba kampuni ya bima haimlipi dereva aliyesababisha ajali? Wewe unapima vipi kwamba ajali hii makusudi na hii bahati mbaya? Ndio nikasema hujui lolote kuhusu bima labda matusi tu unataka mimi nikujue ili nikufanye nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…