Arnold Schwarzenegger apata ajali jijini Los Angeles

Bima nao huwa hawatoi mpunga kirahisi rahis lazima wafanye upembuzi yakinifu..ingekua hivyo kwa tanzania bima nyingi wengekuwa wamefirisika maana ajali ni kila kukicha!
Huyo Mwamba inasemekana ana makosa lakini hajatetemeka hana hofu..mpunga upo..Jamaa yupo kwenye industry tangu tunazaliwa ana Mawe kinoma.

Unajua moja ya siri kubwa ukiwa na mpunga ni kujiamini hubabaishwi na mambo madogo kama hayo bila kusahau kiburi....

Miaka kadhaa niliishi Bukoba; Sasa kuna mama alikua kwenye ka starlet kake anashuka mteremko fulani mbele kulikua na hii harier New model( hizi baboon battocks) jamaa katoka nayo Dsm kumpelekea mteja breki zika fail mama kapalamia harier kesi ikaenda polisi basi akapigiwa mme wa yule mama!
Jamaa hakua na maneno mengi aliuliza hiyo harier bei gani? 32M, jamaa akasema wamkabidhi funguo mke wake na kila document anakuja kuwapa hela kwani hataki kero kama hizo! Kesi ikaisha hivo..

Tutafute hela....
 
Nimekumbuka wimbo wa prof Jay chemsha bongo. Pesa inaongea mkuu
 
Ukiwa na mpunga + umaarufu basi habari zako zitajulikana kila mahali hata kama ni ndogo...

Yaani hako ka traffic case kadogo tu, hadi JF kamekuwa reported sababu tu ya umaarufu wa 'shwaziniga'
 
Hao Watu ndio wanashika vichwa vya habari hata kama akionekana anaenda kwenye ukumbi wa Sinema anaweza kuwa reported kuwa Arnold Schwarzenegger ajumuika na wengine katika ukumbi wa sinema jijini Los Angeles
 
Muigizaji mkongwe na gavana wa zamani wa California, Arnold Schwarzenegger mwenye umri wa miaka 75 amepata ajali jijini Los Angeles.

Mmoja akijeruhiwa lakini Schwarzenegger alitoka akiwa na hajapata majereha. Schwarzenegger alikuwa kwenye gari aina ya SUV iligongana na gari aina ya Prius na kuyapitia magari mengine mawili moja wapo ikiwa ni porsche.

Kulingana na uchunguzi wa awali Schwarzenegger ndio mwenye makosa kwa kusababisha ajali.

====

View attachment 2091867

Arnold Schwarzenegger has reportedly been involved in a multi-vehicle crash that resulted in a woman being taken to hospital.

The former bodybuilder and governor of California was pictured at the scene, in photos shared by the TMZ website, in Los Angeles on Friday afternoon.

A spokesperson for Mr Schwarzenegger told the BBC the actor was behind the wheel of his SUV at the time of the incident but was unharmed.

The four-vehicle collision took place just after 4.30pm local time on Sunset Boulevard, the Los Angeles police department confirmed.

“There was a collision about 4.35pm on Sunset and Allenford Avenue,” an LAPD spokesperson said.

“It was a four-vehicle traffic collision (and) fire departments and paramedics transported one female to a local hospital with an abrasion to her head.

“Neither alcohol nor drugs are suspected as a factor in this and all parties remained at the scene.”

Source: The Guardian
Pole kwa BASATA
 
Ya Tigers woods ilianza ajali mpaka kufilisiwa...
 
Hao Watu ndio wanashika vichwa vya habari hata kama akionekana anaenda kwenye ukumbi wa Sinema anaweza kuwa reported kuwa Arnold Schwarzenegger ajumuika na wengine katika ukumbi wa sinema jijini Los Angeles
Jamaa atakuwa anatumia drugs
 
... nahisi alijua yuko kwenye igizo la kibabe kama enzi zake zile! Paap; kumbe yuko barabarani! Illusion.
 
Bima nao huwa hawatoi mpunga kirahisi rahis lazima wafanye upembuzi yakinifu..ingekua hivyo kwa tanzania bima nyingi wengekuwa wamefirisika maana ajali ni kila kukicha!
Huyo Mwamba inasemekana ana makosa lakini hajatetemeka hana hofu..mpunga upo..Jamaa yupo kwenye industry tangu tunazaliwa ana Mawe kinoma.

Unajua moja ya siri kubwa ukiwa na mpunga ni kujiamini hubabaishwi na mambo madogo kama hayo bila kusahau kiburi....

Miaka kadhaa niliishi Bukoba; Sasa kuna mama alikua kwenye ka starlet kake anashuka mteremko fulani mbele kulikua na hii harier New model( hizi baboon battocks) jamaa katoka nayo Dsm kumpelekea mteja breki zika fail mama kapalamia harier kesi ikaenda polisi basi akapigiwa mme wa yule mama!
Jamaa hakua na maneno mengi aliuliza hiyo harier bei gani? 32M, jamaa akasema wamkabidhi funguo mke wake na kila document anakuja kuwapa hela kwani hataki kero kama hizo! Kesi ikaisha hivo..

Tutafute hela....

Hujui lolote kuhusu bima, bora uulize kuliko kuandika stori ndeeefu ziszo na mashiko
 
Back
Top Bottom