Yani hata nikisema sijui kama mwanadamu ana exist au ha exist, hujathibitisha Mungu yupo.
Your question is a logical non sequitur.
Mimi nakwambia hivi, binti mchanga wa miezi 6 leo, hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme mtu wa miaka 30 leo.
It is logically impossible.
Wewe unauliza, kama huyo binti wa miezi 6 leo si mama mzazi wa huyo mwanamme mwenye miaka 30 leo, basi mama yake mzazi huyo mwanamme ni nani?
Swali lako ni pointless hapa, mimi point yangu ni kwamba binti mchanga wa miezi 6 hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme wa miaka 30, sijasema najua mama mzazi wa huyo mwanamme ni nani, na wala sihitaji kumjua mama mzazi wa huyo mwanamme kujua kuwa binti mchanga wa miezi 6 leo hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 30 leo.
Kuhusu mwanadamu. The very name is a fiction.
By the way, mwanadamu ha exist, hiyo habari ya mwanadamu ni story tu ya Wayahudi.
Huyo Adamu mwenyewe huwezi kuthibitisha alikuwepo, hivyo habari ya "mwanadamu" ni ya kutungwa tu.