MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Nina miaka 4 hivyo naweza kujisaidia mbele ya kadamnasisijazungumzia mtoto wa miaka 4.nimekuuliza wewe mnyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina miaka 4 hivyo naweza kujisaidia mbele ya kadamnasisijazungumzia mtoto wa miaka 4.nimekuuliza wewe mnyama
roho kwa jina lingine nafsiMkuu, roho ina kufa kivipi? au ulikuwa na maana moyo?
Hapana,Biology unaiamini ila mungu akikwambia kaumba binadamu unakataa.
chizi akili hana lakn hawez kujisaidia mbele za watu kama mnyama.binadamu kapewa akili na utambuzi kitu ambacho mnyama hajapewa.utasemaje wako sawa?Nina miaka 4 hivyo naweza kujisaidia mbele ya kadamnasi
kwani quran sio sayansi?Hapana,
Kwenye sayansi hatuendi kwa imani.
Hakuna experiment ya kiimani.
Baiolojia ni sehemu ya sayansi.
Rudi shule.
Quran ni kitabu cha imani, si sayansi.kwani quran sio sayansi?
Hata nafsi pia; hivi vyote sio mwili na wala sio viungo katika mwili.roho kwa jina lingine nafsi
soma quran 23:12-14Quran ni kitabu cha imani, si sayansi.
Imejaa contradictions kibao za kijinga zisizofuata mantiki zinazoonesha ni kitabu kilichoandikwa na watu wajinga zama za giza.
Ukibisha nitakuwekea moja baada ya nyingine uzipangue hapa.
Nafsi ni story tu tunajipigia.Hata nafsi pia; hivi vyote sio mwili na wala sio viungo katika mwili.
mwenyezi mungu katika quran anasema kila nafsi itaonja umauti .je aliongopa?Hata nafsi pia; hivi vyote sio mwili na wala sio viungo katika mwili.
Akili na utambuzi embu fafanua?chizi akili hana lakn hawez kujisaidia mbele za watu kama mnyama.binadamu kapewa akili na utambuzi kitu ambacho mnyama hajapewa.utasemaje wako sawa?
Nimekupa chsllenge ya kupangua contradictions zilizopo kwenye Quran.soma quran 23:12-14
Mkuu hakukosea! Amesema "itaonja umauti" ndio na sio kufa. Hii ina maana, kwamba kwa vile nafsi ipo kwenye muhumili wa huyo binadamu basi ni sharti adhbitishe kuondolewa kwa uhai wa mtu wake.mwenyezi mungu katika quran anasema kila nafsi itaonja umauti .je aliongopa?
Kwanza kabisa, thibitisha huyo Mwenyezi Mungu yupo, na kwamba hizo habari za Quran si hadithi za watu tu.mwenyezi mungu katika quran anasema kila nafsi itaonja umauti .je aliongopa?
Kushindwa kuzuia kifo haimaanishi kwamba Mungu yupo.quran 3:185.inasema kila nafsi itaonja umauji.wewe unabisha.unaweza kuzuia kifo?
Kwa nini waumini wengi wanashindwa kuelewa hii logical non sequitur?Kushindwa kuzuia kifo haimaanishi kwamba Mungu yupo.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mkuu hebu tuelimishane kuhusu hili neno "We made" yeye na nani?Nimekupa chsllenge ya kupangua contradictions zilizopo kwenye Quran.
Hujaijibu.
Je, umeshindwa? Umekubali Quran ina contradictions usizoweza kutatua.
Hiyo Quran 23:12-14 is not scientific. There is no scientific proof for the existence of Allah. Science goes with proofs.
Quran 23:12-14
"And certainly did We create man from an extract of clay.
Then We placed him as a sperm-drop in a firm lodging.
Then We made the sperm-drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah , the best of creators."
Mkuu kwa ufupi hicho kitabu ni nukuu tu kutoka kwenye torati kwa asilimia kubwa na nyongeza zao kiasi.Kwanza kabisa, thibitisha huyo Mwenyezi Mungu yupo, na kwamba hizo habari za Quran si hadithi za watu tu.
Usichukulie tu kwamba, kwa kuwa Quran imesema yupo, basi yupo kweli.
Quran ina uongo na contradictions nyingi sana, nikikuwekea hapa huwezi kumaliza kuzitatua.
Ina onekana watu waliunda dhana ya Mungu kujifariji tu, Baada ya kukosa majibu ya maswali yanayo watatiza.Kwa nini waumini wengi wanashindwa kuelewa hii logical non sequitur?
Actually, ukifikiri kwa kina, kifo kuweza kuwepi ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Mkuu,Mkuu hebu tuelimishane kuhusu hili neno "We made" yeye na nani?