Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

Tulia bwana mdogo na upeo wako finyu.
Kwani wewe mjinga sio Binadamu?
Embu post picha ukiwa huna nguo.
wewe umesema binadamu ni mnyama.nikakwambia umeshawah kumuona mnyama kavaa suti ukajibu ndio.nikakwambia niwekee picha ya mbuzi kavaa suti huna.kiufupi wazungu wanawadanganya sana.binadamu hawez kuwa sawa na mnyama.kwenye quran sijawah kufundishwa kuwa binadamu ni sawa na mnyama.JAPO UNAJIONA UMESOMA LAKINI HAUJAELIMIKA
 
Tulia bwana mdogo na upeo wako finyu.
Kwani wewe mjinga sio Binadamu?
Embu post picha ukiwa huna nguo.
unaambiwa binadamu wa kwanza alikuwa sokwe unafurahi.lakn mungu anasema nimemuumba adamu kwa udongo unakataa.ila mzungu kaokota fuvu tu.mnamuamini.wewe utajifananisha vpi na mnyama mwenye miguu minne?hana akili,ana ngozi tofauti na yako.ana mapembe ,anajisaidia mbele za watu,anakula majani n.k.yaani kwa ufupi binadamu na mnyama ni tofauti.amka kijana.acha kudanganywa na mzungu.sio kila analosema mzungu yuko sawa.
 
wewe umesema binadamu ni mnyama.nikakwambia umeshawah kumuona mnyama kavaa suti ukajibu ndio.nikakwambia niwekee picha ya mbuzi kavaa suti huna.kiufupi wazungu wanawadanganya sana.binadamu hawez kuwa sawa na mnyama.kwenye quran sijawah kufundishwa kuwa binadamu ni sawa na mnyama.JAPO UNAJIONA UMESOMA LAKINI HAUJAELIMIKA
Binadamu ni mnyama
Unachokataa ni kipi?
Hivi huu upuuzi unautoa wapi
Nami nimekwambia tuma picha ukiwa haujavaa nguo
 
Hamna maisha baada ya kifo! Ukifa ni kama bulb imeungua biashara imeisha! Haya mengine tunayo farijiana ni kupunguza ukali wa nadharia ya kifo chenyewe!

Kwani tulitokea wapi!!?
 
Hamna maisha baada ya kifo! Ukifa ni kama bulb imeungua biashara imeisha! Haya mengine tunayo farijiana ni kupunguza ukali wa nadharia ya kifo chenyewe!

Kwani tulitokea wapi!!?
kusingekuwa na maisha baada ya kifo.tusingekuwa tunakufa.
 
nikikwambia wewe ni sawa na ng'ombe utakubali?
Wote ni Carbon based
Wote tuna mitochondria
Wote ni phylum Chordata
Wote tunatumia Lungs kama respiratory organ.
Wote Tupo kingdom Animalia
Wote tuna five senses
Wote tuna four limbs
Sasa kwa nini nikatae?

Vipi wewe na mchanga/udongo mna nasaba?
 
wewe ng'ombe chakula ninachokula kinatoka wap kama sio kwenye udongo?
 
ulishawahi kumuona ng'ombe mwenye kichwa cha binadamu?
 
unamjua aliyeumba kifo?
Kifo hakijaumbwa
Kifo ni mwisho wa seli hai kuzidiwa na seli zilizokufa.
Ni mwisho wa seli hai au kiumbe ikiwa ni multicellular.
Kumbuka seli zako za ngozi kila dakika zinakufa na kuwa replaced, je wewe umekufa?
 
wewe ng'ombe chakula ninachokula kinatoka wap kama sio kwenye udongo?
Hivi elimu yako mwisho Darasa gani?
Kwa nini ule chakula?
Udongo una uhusiano gani na kuumbwa kwako?
Ndio swali lilikuwa langu ila kwa sababu akili kisoda ulishindwa kung'amua
 
ulishawahi kumuona ng'ombe mwenye kichwa cha binadamu?
Ndio ambaye ni wewe maana huna akili.
Unafahamu viumbe vyote vinafanana halafu vimetofautiana?
Hivi hicho kitu huwa unakieleweje?
Taxonomic Hierarchy

Examples

Kingdom

Phylum

Class

Order

Family

Genus

Species
 
Ndio ambaye ni wewe maana huna akili.
Unafahamu viumbe vyote vinafanana halafu vimetofautiana?
Hivi hicho kitu huwa unakieleweje?
Taxonomic Hierarchy

Examples

Kingdom

Phylum

Class

Order

Family

Genus

Species
mimi siamini kama binadamu ni mnyama.ndo maana nimekuuliza.kama ushawah kumuona ng'ombe mwenye kichwa cha binadamu.kwenye quran hakuna hayo mafundisho
 
wewe ng'ombe chakula ninachokula kinatoka wap kama sio kwenye udongo?
Sasa mjinga mimi tuhamie kwenye phase ngumu zaidi ya maswali maana haya ya Sasa hata mtoto mdogo anajibu.

Kwa kutumia kitabu Cha dini
Kwa nini viumbe hivi viliumbwa, hivi viltamkwa vikatokea?
Kwani vina tofauti gani at molecular level?

Kwa nini maisha yote asilimia 98 ni Carbon based na sio Silicon based?

Udongo umeundwa na nini?
Kwa nini Sapiens ambaye kaundwa kwa udongo asiwe Silicon based life ila amekuwa Carbon based?

Nini umuhimu wa jua kwenye maisha?
Unapokula chakula pale unavunja vunja nini na kiwe nini?
 
mimi siamini kama binadamu ni mnyama.ndo maana nimekuuliza.kama ushawah kumuona ng'ombe mwenye kichwa cha binadamu.kwenye quran hakuna hayo mafundisho
Kuamini uhitaji ushahidi ili uamini.
Nipe sifa Tano kwa nini binadamu sio mnyama?
 
Kwa nini ule, unakula ili update nini?
Vipi uhusiano wa udongo na chakula?
Vipi uhusiano wa jua na chakula?
unajua fika kuwa binadamu ametokana na manii ya mwanaume.pamoja na yai la mwanamke.ili mwanaume azalishe mbegu anatakiwa ale chakula ambacho kinatoka udongoni.
 
mimi siamini kama binadamu ni mnyama.ndo maana nimekuuliza.kama ushawah kumuona ng'ombe mwenye kichwa cha binadamu.kwenye quran hakuna hayo mafundisho
Kuamini au kutoamini hakumfanyi kiumbe asiwepo au awepo kwenye kundi fulani.

Binadamu ni mnyama sio kwa kuamini Bali ndio kweli.

Labda nikuulize sifa za mnyama ni Zipi zinazomuondoa binadamu kutokuwa mnyama?
 
Back
Top Bottom