MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Kwani quran sio kitabu cha hadithi za kutungwa tu na mtu!?hyo ni quran.
Usitake kila kitu kiende kwa imani.mimi siamini kama binadamu ni mnyama.ndo maana nimekuuliza.kama ushawah kumuona ng'ombe mwenye kichwa cha binadamu.kwenye quran hakuna hayo mafundisho
Kufa lazima, tupo kwenye eco_system hivyo ni lazima! Kabla ya kuwepo hapa ulikua wapi, usipo pakumbuka!!!?kusingekuwa na maisha baada ya kifo.tusingekuwa tunakufa.
Nanukuu kutoka kwa (KIRANGA)Wakikaribia kufa ndo kauli zao hizo,hiyo yote hofu maana ananusa harufu ya mauti na maisha yake yote alimsahau Mungu,Sasa duniani ana bangalows huko anakoenda anaona kabisa Hana kitu...hakuna Mungu yaani universe imejileta tu na sayari dunia imekua habitable(kukalika) by chance tu!!..ni kutofikiri
Kwanini uamini pepo ipo na kukufanya kuwa mjinga maisha yako yote, wakati unauwezo wa kujua kwa hakika kuwa haipo!?Ni Bora kuamini Kuna pepo,halafu ukaenda ukakuta haipo, kuliko kuamini haipo halafu ukaenda ukakuta IPO imejaa tele
Umeona kiranga ni mtu mwenye tafakuri jadidi!?..kiranga elimu uchwara imemfanya ajione anajua kila kitu,kisha-ignore akaunti yangu kisa huo mjadala wa uwepo wa Mungu,ni mtu aliyevurugwa tu,hajibu swali anazunguka tu na maelezo mengi yasiyo mantikiNanukuu kutoka kwa (KIRANGA)
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
unaruhusiwa kuwa na imani yako, lakini, ukianza kusema imani yako ipo kwenye ukweli, unatakiwa uthibitishe hilo.
Yani hata nikisema sijui kama mwanadamu ana exist au ha exist, hujathibitisha Mungu yupo.Ukitaka kusema mwanadamu exists unatakiwa uthibitishe katokea wapi, wewe ni mwanadamu, do u exists? Umetokea wapi? Thibitisha umetokea kwa nyani
Yani hata nikisema sijui kama mwanadamu ana exist au ha exist, hujathibitisha Mungu yupo.
Your question is a logical non sequitur.
Mimi nakwambia hivi, binti mchanga wa miezi 6 leo, hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme mtu wa miaka 30 leo.
It is logically impossible.
Wewe unauliza, kama huyo binti wa miezi 6 leo si mama mzazi wa huyo mwanamme mwenye miaka 30 leo, basi mama yake mzazi huyo mwanamme ni nani?
Swali lako ni pointless hapa, mimi point yangu ni kwamba binti mchanga wa miezi 6 hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme wa miaka 30, sijasema najua mama mzazi wa huyo mwanamme ni nani, na wala sihitaji kumjua mama mzazi wa huyo mwanamme kujua kuwa binti mchanga wa miezi 6 leo hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 30 leo.
Kuhusu mwanadamu. The very name is a fiction.
By the way, mwanadamu ha exist, hiyo habari ya mwanadamu ni story tu ya Wayahudi.
Huyo Adamu mwenyewe huwezi kuthibitisha alikuwepo, hivyo habari ya "mwanadamu" ni ya kutungwa tu.
Mkuu,Wewe si mwadamu? Una exist? Sawa, any logical explanation umetokea wapi? Ukiacha ya Biblia...?
Mkuu,
Hicho ulichokinukuu umekisoma? Umekielewa?
Unachoshindwa kuelewa ni kipi?
Nakwambia hivi, katika hoja ya kusema Mungu hayupo, swali lako ni pointless.
Tuanzie hapo kwanza.
Unaelewa kwa nini swali lako ni pointless?
Chanzo gani?Angalia chanzo cha hili andiko wewe umeanzia katikati.
UnabetNi Bora kuamini Kuna pepo,halafu ukaenda ukakuta haipo, kuliko kuamini haipo halafu ukaenda ukakuta IPO imejaa tele
Anabet maisha yake mkuu.Unabet
"Neno MWANZO na MWISHO ni concepts tu..." Kila kitu kina exist katika loopsNimemtisha nani? Nime comment, Mambo haya hayana hoja, Kama kila kitu kina hoja, sema chanzo cha mwanadamu?!
Liquid Umeenda mbali sana kimawazo sasa hivi, Glad to you.wabongo bana hamuwezi kujibu facts bila kutoa vitisho