American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 974
Bro Kiranga una msaada mkubwa sana humu, Kwenye mijadala huwa hufiki hitimisho na wadini, ila mwisho wadini wakikaa peke yao huko kwao wanaanza kukuelewa. Mwisho wa siku Umesaidia watu wengi sana Kujikomboka kutoka kwenye utumwa wa kifikra.Wataelewa tu.
Ukiuliza huo muda mrefu unaishia tarehe ngapi hawezi kukujibu.wabongo bana hamuwezi kujibu facts bila kutoa vitisho
Asante sana.Bro Kiranga una msaada mkubwa sana humu, Kwenye mijadala huwa hufiki hitimisho na wadini, ila mwisho wadini wakikaa peke yao huko kwao wanaanza kukuelewa. Mwisho wa siku Umesaidia watu wengi sana Kujikomboka kutoka kwenye utumwa wa kifikra.
Depends hio cost unai-hesabu vipi..., Sababu kama hauishi na unategemea utaishi baadae na hakuna baadae its a loss of an otherwise fruitful life....It's better to believe there's a heaven because it's not cost full, than not and you find it....😳😳😳
Chanzo gani?
Mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo.
"Neno MWANZO na MWISHO ni concepts tu..." Kila kitu kina exist katika loops
Sasa napaswa kufanya niniUnabet
Sina ninachojua.Kwanini uamini pepo ipo na kukufanya kuwa mjinga maisha yako yote, wakati unauwezo wa kujua kwa hakika kuwa haipo!?
Unaweza kuelezea pepo ni kitu gani kwa maelezo machache!?
My intention was not to offend youSina ninachojua.
Mjinga mimi