Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #41
hivi yule alokuwa anasoma sijui manchester kids club bado anasoma huko?Zari hana akili, diamond nae hana akili .What a vombination!Watoto wao watakuwa wanakuwa wa mwisho Darasani. Hata wale watoto wa zari wakubwa ni vilaza. Wangekuwa vipanga Zari lazima angerusha matokeo kwenye insta page yake.
Sasa mbona unajiona ni mtakatifu sana.wote tutaenda.peponi tunaingia tu kwa rhehema na huruma za mwenyenzi Mungu na sio kwa juhudi zetu mkuu
sijajiona ni mtakatifu hata kama nina dhambi lakini sio za kushindwa kumsitiri mama yangu vizuri ardhiniSasa mbona unajiona ni mtakatifu sana.
Ila mi sitaenda peponi, nitaenda mbinguni.
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.
Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.
Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.
Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
kinachouma yule mama alikuwa muislam mwadilifu yaani.kwanini washindwe kumsitiri vizuri ?Kwakuwa haishi ktk nchi za wengine na hajaona hayo uliyoyaona mwache nae atowe maoni yake kwa mujibu wa mila za nchi yetu na matakwa ya Dini ya kiislamu huwezi kuacha kumuombea dua mamayako mzazi na kwenda kwa hawarayako hii ni kinyume na maadiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwaliko wa video ya wimbo mpya?Ma jirani wa insta hat ukipata mwaliko jamani
ahahaaaaaWatu diniani tunamatatizo sana! Wengine Yakwao yanawashinda bado wanadandia ya wengine...! Shughulii sasaa
Wengine wanajiita waisilamu et.......! [HASHTAG]#shubamit[/HASHTAG]
Hata sijui, nahisi hayupo. Angekuwepo huko picha tungeona.hivi yule alokuwa anasoma sijui manchester kids club bado anasoma huko?
unajua unapenda kuongea tu wewe
ungejua nilivoshabiki wa diamond wala usingenihukumu mkuu.mimi najua diamond hana kosa ni hao mameneja wake ambao hawana ubunifu wowote zaidi ya kumtumia zari na kiki za diamondHuwa nakukubali Miss Natafuta, lakini unajishusha my dear jinsi unavyohangaikaga na maisha ya ZariMondi. Unairuhusu chuki ikutawale until it becomes personal. This is beneath you my dear. Take it easy, pambana na hali yako
ifanyike vipi wakati zari hajali na yeye ndo sponsor wa familia? unajua 40 inafanyikaje mkuu?Tueleze leo inafanyikia wapi huko UG!?
Zari hana akili, diamond nae hana akili .What a vombination!Watoto wao watakuwa wanakuwa wa mwisho Darasani. Hata wale watoto wa zari wakubwa ni vilaza. Wangekuwa vipanga Zari lazima angerusha matokeo kwenye insta page yake.
nadhani amewahamisha maana hata nauli tu ya kuwapeleka ug wakamzike bibi yao alikosa hadi leo hawajui hata kaburi la bibi yao? kweli ni watoto wa bosslady bilionea kweli?Hata sijui, nahisi hayupo. Angekuwepo huko picha tungeona.
ahahaaa ila coco wewe huwa ni mchokozi hadi basi .Duh!!!
Hii hatari kweli kweli.. jisikitikie
Kwakuwa haishi ktk nchi za wengine na hajaona hayo uliyoyaona mwache nae atowe maoni yake kwa mujibu wa mila za nchi yetu na matakwa ya Dini ya kiislamu huwezi kuacha kumuombea dua mamayako mzazi na kwenda kwa hawarayako hii ni kinyume na maadiri.
Sent using Jamii Forums mobile app