Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

Zari hana akili, diamond nae hana akili .What a vombination!Watoto wao watakuwa wanakuwa wa mwisho Darasani. Hata wale watoto wa zari wakubwa ni vilaza. Wangekuwa vipanga Zari lazima angerusha matokeo kwenye insta page yake.
hivi yule alokuwa anasoma sijui manchester kids club bado anasoma huko?
 
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.

Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.

Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.

Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.

Huwa nakukubali Miss Natafuta, lakini unajishusha my dear jinsi unavyohangaikaga na maisha ya ZariMondi. Unairuhusu chuki ikutawale until it becomes personal. This is beneath you my dear. Take it easy, pambana na hali yako
 
Kwakuwa haishi ktk nchi za wengine na hajaona hayo uliyoyaona mwache nae atowe maoni yake kwa mujibu wa mila za nchi yetu na matakwa ya Dini ya kiislamu huwezi kuacha kumuombea dua mamayako mzazi na kwenda kwa hawarayako hii ni kinyume na maadiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
kinachouma yule mama alikuwa muislam mwadilifu yaani.kwanini washindwe kumsitiri vizuri ?
 
Kila mtu na moyo wake pengine haoni uchungu wa kufiwa na mama mwenzetu
 
Watu diniani tunamatatizo sana! Wengine Yakwao yanawashinda bado wanadandia ya wengine...! Shughulii sasaa
Wengine wanajiita waisilamu et.......! [HASHTAG]#shubamit[/HASHTAG]
 
Watu diniani tunamatatizo sana! Wengine Yakwao yanawashinda bado wanadandia ya wengine...! Shughulii sasaa
Wengine wanajiita waisilamu et.......! [HASHTAG]#shubamit[/HASHTAG]
ahahaaaaa
 
Yawezekana kuna jambo kubwa lilitokea kati ya mama na huyo bi wa5 siku za mwisho. Mana ilisemekana mama alisononeka sana Ivan alipokufa. Haijachukua mwezi nae akadanji
 
Huwa nakukubali Miss Natafuta, lakini unajishusha my dear jinsi unavyohangaikaga na maisha ya ZariMondi. Unairuhusu chuki ikutawale until it becomes personal. This is beneath you my dear. Take it easy, pambana na hali yako
ungejua nilivoshabiki wa diamond wala usingenihukumu mkuu.mimi najua diamond hana kosa ni hao mameneja wake ambao hawana ubunifu wowote zaidi ya kumtumia zari na kiki za diamond
 
Zari hana akili, diamond nae hana akili .What a vombination!Watoto wao watakuwa wanakuwa wa mwisho Darasani. Hata wale watoto wa zari wakubwa ni vilaza. Wangekuwa vipanga Zari lazima angerusha matokeo kwenye insta page yake.

Duh!!!
Hii hatari kweli kweli.. jisikitikie
 
Hata sijui, nahisi hayupo. Angekuwepo huko picha tungeona.
nadhani amewahamisha maana hata nauli tu ya kuwapeleka ug wakamzike bibi yao alikosa hadi leo hawajui hata kaburi la bibi yao? kweli ni watoto wa bosslady bilionea kweli?
 
Kwakuwa haishi ktk nchi za wengine na hajaona hayo uliyoyaona mwache nae atowe maoni yake kwa mujibu wa mila za nchi yetu na matakwa ya Dini ya kiislamu huwezi kuacha kumuombea dua mamayako mzazi na kwenda kwa hawarayako hii ni kinyume na maadiri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Si mkafatane nae 24/7 kwani nimewakataza.. eeeeeh. Wivu.com
 
Back
Top Bottom