PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,224
Ni wale wale wametoka IG wamekuja huku smart women wa Jf wengi wapo kimya siku hizi wanaibuka kwa machale sanaHawa wanawake wa JF wanakosa Umakini tulitegemea humu kuna watu wenye utashi wa kupambambanua hoja na kuzielewa kumbe wapo baadhi ni sawa na wale waliokosa kujenga maisha yao na wapo tayari kuwa wasemaji wa Fam,ilia za watu wengine.. Sikutarajia wala kutegemea kama huyu mtoa maada naye ni sehemu ya hao watu.
Mwisho wa siku ndiyo hao wanaotafuta wachumba humu ilihali wapo busy kufuatilia maisha ya watu wengine, ni nani yupo tayari kumuengage mtu ambaye muda wote yupo busy kufuatilia maisha ya watu ambao masikini ya Mungu hata kuwafahamu hawafahamiani..
Ni Aibu kwa kweli na sometime huwa nafikiria JF imekosa weredi
Dokta VIP tenaa unatibu watu saa ngap"?Hakuna dish kupinda wala nini hawa ma jirani zetu wa insta lazima kila linalojiri watufahamishe ingawa tunaitwa vichupi kunuka
Mkuu huo udokta wananibambikia mimi ni mpika chapati wa KwamtogoleWe
Dokta VIP tenaa unatibu watu saa ngap"?
Tangu uingie Jf Leo ndo umeongea point Dada YanguHakuna kitu kizuri kama kuacha mtoto mwema duniani akuombee dua pindi uwapo kaburini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanja kinauzwa kipo Yale Yale puna nusu SAA kutoka c.centre..Ni 40 km bei nu maelewano,kiwanja vipo vya ukubwa tofauti vyote vimepimwa(kuanzia sqm.Ni 600tu) karibuni...
Katika uislamu hakuna kitu 40 ya marehemu.Huo no uzushi na mtume S.AW hakufanya arobaini.Zari yupo sahihi ila wafunge ndoa wasiziniLeo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.
Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.
Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.
Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
ni laan sio bure hivo hivo hata siku mondi akizima atapanda ndege nigeriawote tutaenda.peponi tunaingia tu kwa rhehema na huruma za mwenyenzi Mungu na sio kwa juhudi zetu mkuu
Hakuna kimfaacho mwanadamu baada ya kifo chake isipokuwa mambo matatu.Hakuna kitu kizuri kama kuacha mtoto mwema duniani akuombee dua pindi uwapo kaburini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kauli naona iliwauma sana. Tatizo mmezid umbea ns kuafata fata mambo ya watu. Nyie mbona yenu hayafuatiliw.Hakuna dish kupinda wala nini hawa ma jirani zetu wa insta lazima kila linalojiri watufahamishe ingawa tunaitwa vichupi kunuka
Kwani yetu tunayaanika Insta?Hiyo kauli naona iliwauma sana. Tatizo mmezid umbea ns kuafata fata mambo ya watu. Nyie mbona yenu hayafuatiliw.