Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

Sijaona hata kinachowafanya mnamshambulia ndugu yangu na shost yangu kwenye uzi wake huu, yeye kaeleza mawazo yake!
 
The lady is busy flashing picture ´om working everywhere#

https://jamii.app/JFUserGuide U BITCH.
working where you were not suppose to be.could be glad to see you working WCB or Madale.
Goldigger,
this bitch aint go no where,killing people for fame and rich isnt acceptable.
Diamond were counting yo days Bro wake up.Evil is around you.

Unajiona mjanja bwege ww utaangushwa hapo jirani tu halafu zari atacclaim kila kitu.
Na hivi mlikimbia umande😀.
 
Is it coincidence????kazika mume then Mama ..who's next???????????
 
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.

Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.

Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.

Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
Wewe unaiheshimu hiyo dini. Sipendangi watu Kama Nyie mnaojifanya mna uchungu wa misiba ya wenzenu.
 
Hakuna kimfaacho mwanadamu baada ya kifo chake isipokuwa mambo matatu.

1. Mtoto mwema

2. Sadaka yenye kudumu (Ulichimba kisima watu wanafaidika na maji,Kujenga nyumba ya Ibada)

3.Elimu ambayo muhusika aliwasomesha wengine,na jamii kufaidika na maarifa yake.
Na kitu pekee ambacho mtoto anaweza kumpa mzazi wake pindi atakapokufa ni kumuombea dua.
 
Zari hana akili, diamond nae hana akili .What a vombination!Watoto wao watakuwa wanakuwa wa mwisho Darasani. Hata wale watoto wa zari wakubwa ni vilaza. Wangekuwa vipanga Zari lazima angerusha matokeo kwenye insta page yake.
Ukute hata robo ya maisha ya wasiokua na akili hujayafikia hapo ndio inauma sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua watu wanaojadili maisha ya watu asilimia kubwa kama sio maskini wa fedha basi ni maskini wa akili, mtu haumlishi ,hauna mchango kwenye bills zake,hakufahamu, lakini unakaa kumjadili wakati yako tu yamekushinda. Acheni hizo basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujuzwa umuhimu wa kufanya 40,je ni hitaji la lazima la kiroho kwa mujibu wa dini ya kiislamu?
 
Zari hana akili, diamond nae hana akili .What a vombination!Watoto wao watakuwa wanakuwa wa mwisho Darasani. Hata wale watoto wa zari wakubwa ni vilaza. Wangekuwa vipanga Zari lazima angerusha matokeo kwenye insta page yake.
Khaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom