Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaiheshimu hiyo dini. Sipendangi watu Kama Nyie mnaojifanya mna uchungu wa misiba ya wenzenu.Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.
Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.
Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.
Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
cotton and condition of you
pambana na hali yako
Na kitu pekee ambacho mtoto anaweza kumpa mzazi wake pindi atakapokufa ni kumuombea dua.Hakuna kimfaacho mwanadamu baada ya kifo chake isipokuwa mambo matatu.
1. Mtoto mwema
2. Sadaka yenye kudumu (Ulichimba kisima watu wanafaidika na maji,Kujenga nyumba ya Ibada)
3.Elimu ambayo muhusika aliwasomesha wengine,na jamii kufaidika na maarifa yake.
Ukute hata robo ya maisha ya wasiokua na akili hujayafikia hapo ndio inauma sana.Zari hana akili, diamond nae hana akili .What a vombination!Watoto wao watakuwa wanakuwa wa mwisho Darasani. Hata wale watoto wa zari wakubwa ni vilaza. Wangekuwa vipanga Zari lazima angerusha matokeo kwenye insta page yake.
Utaweza watu waliochanganyikiwa na maisha aseeeeehii thread bado ipo!!!? hahaha ndio mkome kufatalia yasiyowahusu..,mbona hiyo arobaini leo imefanyika sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
KhaaaaaaaaaaaZari hana akili, diamond nae hana akili .What a vombination!Watoto wao watakuwa wanakuwa wa mwisho Darasani. Hata wale watoto wa zari wakubwa ni vilaza. Wangekuwa vipanga Zari lazima angerusha matokeo kwenye insta page yake.