Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

Hawa wanawake wa JF wanakosa Umakini tulitegemea humu kuna watu wenye utashi wa kupambambanua hoja na kuzielewa kumbe wapo baadhi ni sawa na wale waliokosa kujenga maisha yao na wapo tayari kuwa wasemaji wa Fam,ilia za watu wengine.. Sikutarajia wala kutegemea kama huyu mtoa maada naye ni sehemu ya hao watu.

Mwisho wa siku ndiyo hao wanaotafuta wachumba humu ilihali wapo busy kufuatilia maisha ya watu wengine, ni nani yupo tayari kumuengage mtu ambaye muda wote yupo busy kufuatilia maisha ya watu ambao masikini ya Mungu hata kuwafahamu hawafahamiani..

Ni Aibu kwa kweli na sometime huwa nafikiria JF imekosa weredi
Ni wale wale wametoka IG wamekuja huku smart women wa Jf wengi wapo kimya siku hizi wanaibuka kwa machale sana
 
ZARI ALUCHOFANYA KWENYE MSIBA WA MAMA YAKE HAKUNA MTU MWENYE UZAZI ATAKAYEUNGA MKONO. MNAOMTETEA NA NYIE HAMNAZO.

LEO BINTI YAKO AKUZIKE KESHO AMESHAKUSAHAU. SIYO MILA ZETU WA TZ LABDA KWAO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwanja kinauzwa kipo Yale Yale puna nusu SAA kutoka c.centre..Ni 40 km bei nu maelewano,kiwanja vipo vya ukubwa tofauti vyote vimepimwa(kuanzia sqm.Ni 600tu) karibuni...
 
Kiwanja kinauzwa kipo Yale Yale puna nusu SAA kutoka c.centre..Ni 40 km bei nu maelewano,kiwanja vipo vya ukubwa tofauti vyote vimepimwa(kuanzia sqm.Ni 600tu) karibuni...


Kiwanja cha mpira wa miguu au cha ndege? Funguka vizuri mkuu ikiwezekana weka picha.
 
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.

Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.

Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.

Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
Katika uislamu hakuna kitu 40 ya marehemu.Huo no uzushi na mtume S.AW hakufanya arobaini.Zari yupo sahihi ila wafunge ndoa wasizini
 
Hakuna kitu kizuri kama kuacha mtoto mwema duniani akuombee dua pindi uwapo kaburini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kimfaacho mwanadamu baada ya kifo chake isipokuwa mambo matatu.

1. Mtoto mwema

2. Sadaka yenye kudumu (Ulichimba kisima watu wanafaidika na maji,Kujenga nyumba ya Ibada)

3.Elimu ambayo muhusika aliwasomesha wengine,na jamii kufaidika na maarifa yake.
 
Hakuna dish kupinda wala nini hawa ma jirani zetu wa insta lazima kila linalojiri watufahamishe ingawa tunaitwa vichupi kunuka
Hiyo kauli naona iliwauma sana. Tatizo mmezid umbea ns kuafata fata mambo ya watu. Nyie mbona yenu hayafuatiliw.
 
Zari ana roho ngumu hapa duniani ana roho saba kama za pakq
 
Back
Top Bottom