Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

21149028_445198929209879_7524900079753232384_n.jpg
21224717_113280946009574_3913866000193290240_n.jpg
21149546_119651638766475_3600090459940061184_n.jpg
21149340_342217732901941_9058407737494339584_n.jpg
21227619_1876578369023018_3449508485635506176_n.jpg
Arobain ya mama yake zari uganda
 
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.

Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.

Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.

Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.

Panda ndege uende wewe
 
Is it coincidence????kazika mume then Mama ..who's next???????????
Wabongo bwana.
Kufa ni kawaida kuna watu wanapoteza familia nzima ndani ya siku moja ni mipango ya Mungu tu.
Akiamua pia unaweza zika mtu kila mwezi. Kufa ni kufa tu tuache mawazo ya ajabu.
 
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.

Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.

Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.

Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
Una hamu?moja imekushinda unataka mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungemfanyia wewe mkuu mazishi ulihudhuria lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom